NAKAZIA: Acha ujinga, usimpe pesa mwanamke ambaye si mke au mchumba wako

Dah lipuuzi lingine ikute hata nguvu zakiume huna
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Baada ya kupewe πŸ† unataka upewe shillings ngapi? Simple question km laki sema laki km laki 2 sema laki 2, wewe si ndio unajua gharama zako
 
Kahaba nimekudaka leo
Tafuta kazi halali
Hahaha nawewe utafute kazi halali maana hii hapa haikufai utakufa na hasira hena Huna utabakia unasaga miguu na hako ka ist kakudunduliza umejichokea na jua la dar
 
Hivi kwanini isifike muda kila mtu abaki na chake? Mwenye mbususu abaki na mbususu yake...
Mwenye mkia abaki na mkia wake...
Case closed...
Ni kweli ni kweli kazi kero visa na visana siwabaki na midudu Yao period siye mbona tumetulia hatuwawazi eh eti wao mara kahaba sijui maraya mara sijui unajiuza Sasa shida zote zanini???
Waambie hao mama wasikutibue na maji ya mgao hata umeme umekatwa
 
Hapana mleta mada me sikubaliani na wewe , hizi formula huwa mnazileta huku ila mnatugeuka mnatuzunguka mnawahonga vibaya mno πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Kikubwa vijana mjikune mnapoweza , msilazimishe mambo "Mwanamke huwa anataka kitu ambacho huna"
Wewe fanya kwa uwezo wako πŸ˜ƒ
 
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…