NAKAZIA: Acha ujinga, usimpe pesa mwanamke ambaye si mke au mchumba wako

Umesema kweli mkuu. Pesa mpatie mzazi wako, mke wako au mtu mwenye uhitaji kweli.

Usipatie gold diggers pesa, wanadhani kwasababu wanamatako makubwa basi wanashahili kupewa pesa hivyo. Tabia chafu sana hiyo.
Tabia za kiibilisi kabisa
 
Umesema kweli mkuu. Pesa mpatie mzazi wako, mke wako au mtu mwenye uhitaji kweli.

Usipatie gold diggers pesa, wanadhani kwasababu wanamatako makubwa basi wanashahili kupewa pesa hivyo. Tabia chafu sana hiyo.
Nawakati wakutomba utombe dada zako sio dada wawengine nawakuwachakaza unapofanya jambo fikiri kabla yakutenda
 
Tabia za kiibilisi kabisa

Kabisa mkuu, hawawatumii wazazi wao hata 5000 lakini wanashoboka na gold diggers.

Si laana kabisa hiyo?

Mimi mwanamke hata awe mzuri au uwe na umbo kiasi gani akiniletea mambo ya u-gold digger namfurusha.

Hata kama mzuri vipi, Gold-digger ni gold digger tu.
 
Nawakati wakutomba utombe dada zako sio dada wawengine nawakuwachakaza unapofanya jambo fikiri kabla yakutenda

Mentality yako ni chafu.

Si unaona unavyowwaza?

Sex napata kwa girlfriend/mke wangu. Sinunui.

Yanini nipoteze muda kwa gold diggers?
 
Pole mwaya ila dar yote umekosa mkuu acha hizoo kijana maridadi na hizo lipsi zako kifua kile nalile gari kama nakuona hivi mmh hakunaga ni unabana tu acha hizo fungua moto wapo
Mwenzio nipo hapa kaliua nimeshiba wali nazi mandondo ya mama wa kambo naperuzi nyuzi tuu hapa.
Warembo bila ndalama utaishia pigwa vibuti tuu
 
Kwamba wanaume hawahitaji matunzo? By the way ni jukumu la kila mtu kujitunza sio kusubiri kutunzwa kama kuku broiler
 
Hawa wa siku hizi wengi ni wezi tuu, na bahati mbaya sana wanakuibia kwa hiyali yako mwenyewe bila kupenda, shenziiiiiiiiiiii kabisa 😑😑😑😑😑
 
Mkuu, barikiwa sana. Kama nchi yetu ikiwa na wanaume kama mim na wewe tutaifikia nchi tuliyoiota enzi za Nyerere
 
Malaya wote wanakuwa wakali sana unaposema wanajiuza wao wanajificha kwenye kichaka cha matunzo [emoji23]

Malaya ni malaya tu kubalianeni bei lipia huduma kula mzigo achana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…