Nakereka sana kusikia na kuona Rais Samia akiitwa au kuandikwa Dr. Samia

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake liandikwe Samia (PhD hons).

Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?

Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.

Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.

Nimemaliza.
 
Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).

Waache machawa waendelee kujipatia riziki yao ya kila siku mjini hapa.
Wasomi wenyewe hawatusaidii kupata katiba mpya acha waendelee kuvunjwa moyo mpaka waelewe
 
Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).

Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?

Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.

Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.

Nimemaliza.
Aliyempa hiyo Dr ni mwngine anajiita Dr JK
 
Mkuu, wakuu wa mihimili mingine ya dola, wote ni "PhD holders" kwa ili kufunika kombe CCM wameona naye pia wamtambulishe kupitia "prefix" hiyo ya udaktari wa falsafa.

Makamu wake pia ana jiwe hilo la kitaaluma, kwa jinsi unafiki na umbumbumbu ulivyotamalaki ndani ya CCM, wameona ni vyema naye aonekane pia apewe njia ya mkato na kuanza kutambulishwa kama sehemu ya "elites"
 
Ndio maana unaitwa Sexless. Huna jinsi, utaachaje kuwa na wivu kwa wenye jinsia?
 
Mkuu, wakuu wa mihimili mingine ya dola, wote ni "PhD holders" kwa ili kufunika kombe CCM wameona naye pia wamtambulishe kupitia "prefix" hiyo ya udaktari wa falsafa.

Makamu wake pia ana jiwe hilo la kitaaluma, kwa jinsi unafiki na umbumbumbu ulivyotamalaki ndani ya CCM, wameona ni vyema naye aonekane pia apewe njia ya mkato na kuanza kutambulishwa kama sehemu ya "elites"
Means Dr Mpango na Dr samia?
Ukweli mpango anastahi ila huko pengind CCM ni shidaaaas
 
Back
Top Bottom