Nakereka sana kusikia na kuona Rais Samia akiitwa au kuandikwa Dr. Samia

Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).

Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?

Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.

Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.

Nimemaliza.
Mimi mpaka leo nabaniwa kuitwa Dr.. Au ni kwavile utaalam wetu hautambulikani kwa washika dau? Mbona tunawatibu sana tu?[emoji2827]
 
Bora hata hiyo.
Mie nakereka sana pale waziri mkuu au spika au kiongozi yeyote 'aliyejiuzulu' kutambulishwa kama 'aliyestaafu'. Kuna tofauti kati ya kustaafu na kujiuzulu.
Historia inabidi iwekwe sawa.

Sasa haya ya udokta/uprofesa hadi waganga wa tiba asili nao ni maprofesa na madokta! 😃😲
 
Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).

Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?

Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.

Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.

Nimemaliza.
Baada ya kushindwa kuendeleza nchi tumeamua kuwatisha wazungu kwa kuwaita marais wetu ma Dokteri, tukumbuke Mugabe alikuwa nazo tisa(9) na akafa nazo huku nchi ikiwa hoi, ulaya wanaendelea bila kuwa na ma Dokteri, sina uhakika kama wakienda ulaya nako huwa wanaitwa ma Dokteri!
 
Uchawa umetamalaki kila maala si ccm wala upinzani,tuna kazi kubwa sana tunaojielewa na M/Mungu atutie nguvu kwa kweli
 
Bora hata hiyo.
Mie nakereka sana pale waziri mkuu au spika au kiongozi yeyote 'aliyejiuzulu' kutambulishwa kama 'aliyestaafu'. Kuna tofauti kati ya kustaafu na kujiuzulu.
Historia inabidi iwekwe sawa.

Sasa haya ya udokta/uprofesa hadi waganga wa tiba asili nao ni maprifesa na madokta! 😃😲
Lowasa.............waziri mkuu aliyejiuzulu
Pro. Asad.........CAG aliyefukuzwa
Ludovick Uttoh.........CAG aliyejiuzulu
Ndugai.......spika aliyejiuzulu
Dr. Bashiru.....Katibu mkuu kiongozi aliyefukuzwa
 
Mimi mpaka leo nabaniwa kuitwa Dr.. Au ni kwavile utaalam wetu hautambulikani kwa washika dau? Mbona tunawatibu sana tu?[emoji2827]
Chukua kadi ya uanachama wa CCM, tuyakupongeza na kuanza kukuita Dr. Mzikulu.
 
Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).

Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?

Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.

Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.

Nimemaliza.
Hii si ndio kama ya Msukuma Kasheku? 😂🤣🤣 Nchi Ngumu Sana hii, unafiki kila mahala.
 
Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).

Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?

Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.

Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.

Nimemaliza.
Sawa kabisa, tuendelee kumwita rais Samia au mama Samia tutakuwa tumeitendea haki taaluma na pia rais Samia mwenyewe.
 
Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).

Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?

Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.

Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.

Nimemaliza.
Acha wivu Samia ni Dr, iwe mwanzo au mwisho wa jina
 
Alianza na hizo sifa Kikwete Dr Kikwete watu wakawa wanamchora tu, sasa hivi umehamia Kwa Dr wa Form four failure nao wanaitwa Dr mitaani
 
Nguo ya kuazima haistiri matako. Na chema chajiuza, kibaya chajitembeza. Tunachojua Dr.Mpango ana PhD original na ni critical thinker. Huyu mwingine ana 'unanihii' wa kikatiba na PhD ya kupewa na mtu mwenye PhD ya kupewa.
 
Eti wanasema kama Angela Merkel, wasichofahamu labda ni kwamba Angela Merkel ana PhD ya Quantum Physics na amefanya kazi ya research University kabla ya kuwa Kanzela, hivyo Dr.Angela Merkel ana PhD ya kazi na jasho, …
 
Mambo ni mengi, inamaana Siku hizi haitwi tena Mama ?🐒
 
Back
Top Bottom