Mbo Mpenza
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 445
- 1,120
Hata nyerere na mwinyiWanamuaibisha sana, sijui na yeye hajistukii?.
Hii ni dalili ya inferiority complex.
Mkapa alikuwa na Madegree ya Heshima lakini hajawahi kuentertain ujinga huu.

Unashangaa hili, je kuitwa raisi wa serikali ya awamu ya sita badala ya raisi wa sita wa serikali ya awamu ya tano! Hii ndio Tanzania. Kama aliyetunukiwa anapenda kuitwa hivyo machawa watafanyeje sasa?Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake liandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Profesa Kironde alifafanua vizuri sana. Hakuna cha Dr Kikwete au Dr Samia, wakitaka udaktari wakanunue kama alivyofanya Magufuli, Mwigulu, Jaffo nk.Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake liandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Kwani shida Iko wapi prof, ivi unazani PhD wote nolazima waingie class MzeeProfesa Kironde alifafanua vizuri sana. Hakuna cha Dr Kikwete au Dr Samia, wakitaka udaktari wakanunue kama alivyofanya Magufuli, Mwigulu, Jaffo nk.
Wako wengi ndg, kama Dr msukumaKuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake liandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Unashangaa hili, je kuitwa raisi wa serikali ya awamu ya sita badala ya raisi wa sita wa serikali ya awamu ya tano! Hii ndio Tanzania. Kama aliyetunukiwa anapenda kuitwa hivyo machawa watafanyeje sasa
Wasomi wenyewe mnafurahi mkitolewa jalalani..........acha watu wajiokotee makaratasi yakuitwa vyeti huko jalalaniKuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake liandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Kwa hili HAPANA.Unashangaa hili, je kuitwa raisi wa serikali ya awamu ya sita badala ya raisi wa sita wa serikali ya awamu ya tano! Hii ndio Tanzania. Kama aliyetunukiwa anapenda kuitwa hivyo machawa watafanyeje sasa?
Hawa huwa tunawapuuza tukijua wanaigiza na hawako serious. Lkn upande wa wanasiasa wako serious na wanazitamani hizi titles for political milageAcha nongwa, mbona haujali Prof. Jay, Dr. Remmy Ongara, Prof. Majimarefu nk?
Mwache mama yetu aitwe apendacho.Hawa huwa tunawapuuza tukijua wanaigiza na hawako serious. Lkn upande wa siasa wako serious na wanazitamani hizi titles for political milage
Duuh! Titles kama zote utadhani Idd AminiMwache mama yetu aitwe apendacho.
Field Marshal, Commander in chief of armed forces, conquerer of British empire , Dr, Prof, Alhajat Samia Suluhu Hassan
Weka ushaidi ya kuwa hawako serious.Hawa huwa tunawapuuza tukijua wanaigiza na hawako serious. Lkn upande wa wanasiasa wako serious na wanazitamani hizi titles for political milage
Sasa msanii anajita profesa wa mitulinga u ategemea nn?Weka ushaidi ya kuwa hawako serious.
Bora hata huyo Bi Urojo kuitwa Dr, hao PHD holders ndiyo useless kabisa na huko kukesha kwao mpaka kupata hizo PHD hakujawahi kuwa na faida popote sanasana wanaishia kuburuzwa na wanasiasa unaowalalamikia kuwa hawastahili hiyo title ya Dr.Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake liandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Wanapenda Udokta wakati shuleni walikuwa wavivu.Aliyempa hiyo Dr ni mwngine anajiita Dr JK
Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake liandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Ni Kama vile tunavyouchukia ubakaji. Na huu pia ni aina nyingine ya ubakaji, lkn huu ni ubakaji wa elimuWewe inakupunguzia nini??