Nchi hii imefurika wanafiki mpk inatia kinyaa. Eti kila mtu sasa anaita Dr. SamiaUsipoanza na Dr. unaweka tumbo lako rehani njaa njaa kali na joto .
Yani kichefuchefu😕KUJIKOMBA kumekuwa kwingiNchi hii imefurika wanafiki mpk inatia kinyaa. Eti kila mtu sasa anaita Dr. Samia
Karibu tuufunge mwakaSawa mkuu
Karibu pia mkuuKaribu tuufunge mwaka
Ahsante sana ngoja niandae logisticsKaribu pia mkuu
Waache machawa waendelee kujipatia riziki yao ya kila siku mjini hapa.Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Aliyempa hiyo Dr ni mwngine anajiita Dr JKKuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Mkuu, wakuu wa mihimili mingine ya dola, wote ni "PhD holders" kwa ili kufunika kombe CCM wameona naye pia wamtambulishe kupitia "prefix" hiyo ya udaktari wa falsafa.Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Ndio maana unaitwa Sexless. Huna jinsi, utaachaje kuwa na wivu kwa wenye jinsia?Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Means Dr Mpango na Dr samia?Mkuu, wakuu wa mihimili mingine ya dola, wote ni "PhD holders" kwa ili kufunika kombe CCM wameona naye pia wamtambulishe kupitia "prefix" hiyo ya udaktari wa falsafa.
Makamu wake pia ana jiwe hilo la kitaaluma, kwa jinsi unafiki na umbumbumbu ulivyotamalaki ndani ya CCM, wameona ni vyema naye aonekane pia apewe njia ya mkato na kuanza kutambulishwa kama sehemu ya "elites"
Nakereka sana nikisikia mtu anaita Dr. Samia mpk naumwa?????Means Dr Mpango na Dr samia?
Ukweli mpango anastahi ila huko pengind CCM ni shidaaaas