Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Heshima ya kweli haivutwi na kamba. Uliwahi kumsikia Dr. Nyerere? na wasaidizi wake walikua wanamuheshimu kauli yake ni moja tu lazima ufuate.Wanamuaibisha sana, sijui na yeye hajistukii?.
Hii ni dalili ya inferiority complex.
Mkapa alikuwa na Madegree ya Heshima lakini hajawahi kuentertain ujinga huu.
Poa mkuuAhsante sana ngoja niandae logistics
Mimi mpaka leo nabaniwa kuitwa Dr.. Au ni kwavile utaalam wetu hautambulikani kwa washika dau? Mbona tunawatibu sana tu?[emoji2827]Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Bora hata hiyo.Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Baada ya kushindwa kuendeleza nchi tumeamua kuwatisha wazungu kwa kuwaita marais wetu ma Dokteri, tukumbuke Mugabe alikuwa nazo tisa(9) na akafa nazo huku nchi ikiwa hoi, ulaya wanaendelea bila kuwa na ma Dokteri, sina uhakika kama wakienda ulaya nako huwa wanaitwa ma Dokteri!Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Lowasa.............waziri mkuu aliyejiuzuluBora hata hiyo.
Mie nakereka sana pale waziri mkuu au spika au kiongozi yeyote 'aliyejiuzulu' kutambulishwa kama 'aliyestaafu'. Kuna tofauti kati ya kustaafu na kujiuzulu.
Historia inabidi iwekwe sawa.
Sasa haya ya udokta/uprofesa hadi waganga wa tiba asili nao ni maprifesa na madokta! 😃😲
Chukua kadi ya uanachama wa CCM, tuyakupongeza na kuanza kukuita Dr. Mzikulu.Mimi mpaka leo nabaniwa kuitwa Dr.. Au ni kwavile utaalam wetu hautambulikani kwa washika dau? Mbona tunawatibu sana tu?[emoji2827]
Hii si ndio kama ya Msukuma Kasheku? 😂🤣🤣 Nchi Ngumu Sana hii, unafiki kila mahala.Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Sawa kabisa, tuendelee kumwita rais Samia au mama Samia tutakuwa tumeitendea haki taaluma na pia rais Samia mwenyewe.Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Acha wivu Samia ni Dr, iwe mwanzo au mwisho wa jinaKuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Alianza na hizo sifa Kikwete Dr Kikwete watu wakawa wanamchora tu, sasa hivi umehamia Kwa Dr wa Form four failure nao wanaitwa Dr mitaaniKuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake aandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.
Chawa ktk ubora wakoAcha wivu Samia ni Dr, iwe mwanzo au mwisho wa jina