Nakereka sana kusikia na kuona Rais Samia akiitwa au kuandikwa Dr. Samia

Kirefu Cha PhD hons ni nini!?..yaani tuhangaike kumuita PhD hons kisa wewe hupendi tumuite Dr
 
Mamb ya PhDs ni janga nchi hii wengine walipojarib kuhoji PhDs walifyekelwa mbali. Bongo PhDs nying za mchongo!!
 
Kwanini unakereka na shahada ya heshima ya udaktari wa filosofia aliyopewa mama yetu ,wakati Dunia inatambua????? fanya exceptional efforts kutumika jamii tutakupa na wewe...acha wivu kaza msuli soma .....
 
Kwanini unakereka na shahada ya heshima ya udaktari wa filosofia aliyopewa mama yetu ,wakati Dunia inatambua?????
Kupewa shahada ya heshima ni kawaida lkn isipinduliwe maana yake Kama nilivyoeleza kwenye uzi wangu.
 
Tatizo wala siyo hilo. Naumia kuona jina la F4 failure linaanzia na doctor (PhD).
Halafu nataka nikwambie tu kufeli F4 sio ndio kigezo cha kuto kujiendeleza ukapata ka masters then ukapewa ka Udokta ka heshima.

Mkuu Acha WIVU bhana we inakuharibia nini katika maisha yako????
ACHA USWAZI BASI MKUU
 
Raid wa Kenya, William Samoei Ruto ana BSc, MSc na PhD lakini hajiiti Doctor Ruto. In fact Marais wengi wa sasa na waliopita wa nchi zilizoendelea akiwemo Barack Obama wana PhD lakini hawajiiti madokta
 
Dr wanaweka kwa kejeli tu ili ajisikie but not seriuos Dr
 
Sexless 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hongera mama yetu mpendwa Dr samia unaupiga mwingi🤣🤣🤣🤣🤣!!!!!
 
We jamaa inatakiwa ujinyonge kabisa maana utaendelea kuumia kila siku sisi watanzania wenye akili timamu na tunaojua kazi kubwa aliyoifanya Rais Samia Suluhu anastahili kuitwa Dr Samia Suluhu tena kama kungekua na cheo kingine tumpe maana anaupiga mwingi
 
Mbali ya kuwavunja moyo hao wanaofanya juhudi kuifikia ngazi hiyo; hata hao wanaopewa hiyo ya heshima pawe na viwango basi?
Isiwe kujigawia tu kwa mtu yeyote kwa sababu anayo nafasi ya kuteuwa, au kutoa fadhila kwa hao wanaotoa hizo shahada za heshima bila ya vigezo stahiki.

Vyuo hivi vinavyotoa hizi PhD za heshima bila kuzingatia hadhi inayostahili vinajidhalilisha vyenyewe na kupoteza heshima yake.

Kuna siku watataka kumpa PhD mtu mashuhuri kabisa anayestahili kwa kazi alizofanya, na mtu huyo akakataa kurundikwa kwenye kundi la watu waliopewa hizo shahada bila ya kuwa na uzito unaotosheleza heshima hiyo.
 
Iliyobaki ni kumpeleka tu nyumbani kwako ukawe unamshangaa kama pambo.
 
At least imepunguza speed ya kumuita mama...maana kila kona ilikuwa mama..mama..
Badala kumuita Mh Rais.
Dr Samia hoyee√
Mama Samia hoyee×
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…