Nakereka sana kusikia na kuona Rais Samia akiitwa au kuandikwa Dr. Samia

Unashangaa hili, je kuitwa raisi wa serikali ya awamu ya sita badala ya raisi wa sita wa serikali ya awamu ya tano! Hii ndio Tanzania. Kama aliyetunukiwa anapenda kuitwa hivyo machawa watafanyeje sasa?
 
Ni kweli binadamu hatuliziki, hivi mtu umeishakuwa rais, bado unaweza kuwa unatamani kuwa na vyeo vingine .
 
Profesa Kironde alifafanua vizuri sana. Hakuna cha Dr Kikwete au Dr Samia, wakitaka udaktari wakanunue kama alivyofanya Magufuli, Mwigulu, Jaffo nk.
 
Profesa Kironde alifafanua vizuri sana. Hakuna cha Dr Kikwete au Dr Samia, wakitaka udaktari wakanunue kama alivyofanya Magufuli, Mwigulu, Jaffo nk.
Kwani shida Iko wapi prof, ivi unazani PhD wote nolazima waingie class Mzee
Zingine ni za heshima mkuu
Usione wivu ila standard lazima ziwekwe bayana siyo Kila mtu anastahili kupewa hiyo heshiama...
 
Wako wengi ndg, kama Dr msukuma
 
Wasomi wenyewe mnafurahi mkitolewa jalalani..........acha watu wajiokotee makaratasi yakuitwa vyeti huko jalalani
 
Unashangaa hili, je kuitwa raisi wa serikali ya awamu ya sita badala ya raisi wa sita wa serikali ya awamu ya tano! Hii ndio Tanzania. Kama aliyetunukiwa anapenda kuitwa hivyo machawa watafanyeje sasa?
Kwa hili HAPANA.
Kwani unaelewa nn kuhusu neno awamu?? Awamu inajengwa na mtu siyo vipindi 2 vya miaka mitano mitano.

Nyerere alikuwa madarakani kwa miaka 23, unataka kusema alikaa awamu 2 na point 3??

Miaka yote 23 kwasabb iliongozwa na mtu mmoja ndiyo maana tunaita awamu ya kwanza.

Awamu ya 5 ilikuwa ya dikteta Magufuli. Alipokufa, akaja Samia akaanza awamu ya 6.
 
Acha nongwa, mbona haujali Prof. Jay, Dr. Remmy Ongara, Prof. Majimarefu nk?
Hawa huwa tunawapuuza tukijua wanaigiza na hawako serious. Lkn upande wa wanasiasa wako serious na wanazitamani hizi titles for political milage
 
Hawa huwa tunawapuuza tukijua wanaigiza na hawako serious. Lkn upande wa siasa wako serious na wanazitamani hizi titles for political milage
Mwache mama yetu aitwe apendacho.

Field Marshal, Commander in chief of armed forces, conquerer of British empire , Dr, Prof, Alhajat Samia Suluhu Hassan
 
Mwache mama yetu aitwe apendacho.

Field Marshal, Commander in chief of armed forces, conquerer of British empire , Dr, Prof, Alhajat Samia Suluhu Hassan
Duuh! Titles kama zote utadhani Idd Amini
 
Hawa huwa tunawapuuza tukijua wanaigiza na hawako serious. Lkn upande wa wanasiasa wako serious na wanazitamani hizi titles for political milage
Weka ushaidi ya kuwa hawako serious.
 
Bora hata huyo Bi Urojo kuitwa Dr, hao PHD holders ndiyo useless kabisa na huko kukesha kwao mpaka kupata hizo PHD hakujawahi kuwa na faida popote sanasana wanaishia kuburuzwa na wanasiasa unaowalalamikia kuwa hawastahili hiyo title ya Dr.
 

Wewe inakupunguzia nini??
 

Ni tabia moja ya kipuuzi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…