Mkuu, wakuu wa mihimili mingine ya dola, wote ni "PhD holders" kwa ili kufunika kombe CCM wameona naye pia wamtambulishe kupitia "prefix" hiyo ya udaktari wa falsafa.
Makamu wake pia ana jiwe hilo la kitaaluma, kwa jinsi unafiki na umbumbumbu ulivyotamalaki ndani ya CCM, wameona ni vyema naye aonekane pia apewe njia ya mkato na kuanza kutambulishwa kama sehemu ya "elites"
Ndiyo ni Professor wa mitulinga na hiyo ni seriousness kwenye fani yake.Sasa msanii anajita profesa wa mitulinga u ategemea nn?
Tatizo wala siyo hilo. Naumia kuona jina la F4 failure linaanzia na doctor (PhD).
Mtaje jina huyo Profesa tumfahamu.Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu.
Hakuna popote kwenye katiba awamu imetajwa.Unashangaa hili, je kuitwa raisi wa serikali ya awamu ya sita badala ya raisi wa sita wa serikali ya awamu ya tano! Hii ndio Tanzania. Kama aliyetunukiwa anapenda kuitwa hivyo machawa watafanyeje sasa?
Daah! Unaona Sasa? Kumbe Dr inatajwa na kuandikwa na machawa tuAngalia hapa Sexless Ikulu imejiondoa kwenye hiyo dr.
View attachment 2490623
Ndiyo hiyo, nilianzisha uzi kuhusu hiyo honorable doctor wenye jf wakaukwapua uzi fasta!.Daah! Unaona Sasa? Kumbe Dr inatajwa na kuandikwa na machawa tu
Ahaa! Mm nilibahatika kuona pia ulikuwa umeweka na tweet ya ikulu ikimtaja Samia kwa kuanza na mheshimiwa.Heading ilikuwa...
"IKULU YAJIWEKA PEMBENI NA HONORABLE DOCTOR"
Mbunge wa huko Tanga mh Rashid Shangazi amesema PhD zinauzwa kama njugu kwani yeye binafsi aliambiwa atoe US Dollar 1500 atunukiwe.Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake liandikwe Samia (PhD hons).
Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm wanainajisi elimu mchana kweupe? Ni kujipendekeza kunawapumbaza?
Tunawavunja moyo wale waliopo vyuoni wakiumiza vichwa na kukesha usiku kucha wakisoma ili kuifikia hatua ya kupata PhD.
Natoa onyo kwa wanaccm na machawa wote kuwa rais Samia hapaswi kuitwa Dr. Samia.
Nimemaliza.