Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Umakini unahitajika potepotehivi kumiliki laini ya simu Tanzania kunahitaji umakini kuliko kuwa na passport au leseni ya udereva?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umakini unahitajika potepotehivi kumiliki laini ya simu Tanzania kunahitaji umakini kuliko kuwa na passport au leseni ya udereva?
Naunga mkono hoja
P
Na sio watanzania wote wenye driving license na sio wenye kadi ya mpiga kura hili la nida itawalazimu watu wengi waingie kwenye mfumo.hakuna kitu kinachotafutwa Bali ni mabadiliko ya dunia na maendeleo yake ndio yanatulazimisha iwe hiviUmeandika kwenye mada yako;
''Wenye akili wameshasoma mchezo, kuna kitu kinatafutwa hapo, kwa sababu fingerprints Tayari watu walishachukuliwa kwenye Vitambulisho vya kura na Driving Licence,sasa kuna haja gani ya kutesa watu kiasi hiki?''.
Ni kitu gani kinachotafutwa? Naomba unielimishe!
Nimekuomba unielimishe kwa sababu kwa sasa hapa Jamiiforums kumejitokeza baadhi ya wanachama ambao wanadhani hisia zao ndio ukweli lakini kibaya zaidi wanataka kuwalazimisha na watu wengine kwa hoja za nguvu waamini hisia zao!
Kama ni rahisi hivyo sasa analalamika nini, si aende aka-forge apate kitambulisho cha NIDA asajili SIM card yake?Kwani haya hayawei kufanyika leo? Hayawezi kuwa forged leo?
Hoja ni ile ulipoitoa hii comment yangu ya kuunga mkono hoja.mkuu hoja hapo ni ipi na wengine tuunge mkono?
Mkuu tuliza kichwa rudia kusoma vizuri njoo uchangie.kama hoja ni usahili wa idara ya uhamiaji,je passport zinaruhusiwa kutumika kwenye usajiri wa laini?
Unataka nikujibu kwa hoja zipi mbona nimeshakujibu soma vizuri post #4 .
Mbona unadabili gia angani?Kwa hiyo National ID ndo itatumika kupiga kura?
Kama kulikuwa na makosa kwa nini Vitambulisho vya kupigia kura havijabadilishwa na uchaguzi Tayari umefika?
Huoni kuwa Rais wa Tanzania anachaguliwa na Warundi ndo maana ana tabia za kirundi, sasa ujuaji wangu uko wapi?
Hebu jibu swali langu, Kwanini Vitambulisho vya kupigia kura bado havijabadilishwa hata baada ya kugundua kulikuwa na makosa ya uhakiki? Na mwaka jana vimetumika tena kwenye local government elections?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani sasa inafanyikaje kuhusu kuhakiki uraia wa muombaji?NIDA wangeachiwa zoezi la kuprint tu id kwanza hawana elimu ya utambuzi kujua yupi raia yupi sio,jukumu la taarifa wangeachiwa polisi na uhamiaji kwani wako nchi nzima wakusanye taarifa wanazituma NIDA
Hakuna la maana kinachofanyika hakuna tofaut kupata voter id,ili kupata voter id unahitaji kutambuliwa na mkit mtaa au kijiji mbele ya mawakala wa vyama vya siasa.Hvyvyo kwa sasa usipokua na vyet vya kuzaliwa mwenyekiti atakuandikia barua utambulisho bas hvyo uhamiaji ni kugonga mhuri tu na maswali mepesi.Tangu jiwe aingie madarakani viongozi wa serkali wameacha kufikiri na kuheshimu sheria.Wanamuangalia jiwe kichwa chake kikoje na wamempatia kweli.Yeye anajiona amewaweza lakini kumbe wanamuona babu mwenye vituko hvyo ukitaka mali yake msifie tuWewe nawe msahaulifu mkubwa zaidi.
Umesahau wakati wa vitambulisho vya mpiga kura au leseni ya udereva hakukuwa na uhakiki/usahili wa idara ya uhamiaji kujiridhisha uraia wa muombaji.
Umesahau ktk vitambulisho vya kura hakukuwa na uwasilishaji cheti cha kuzaliwa.
Umeasahau passport za zamani ilikuwa sio lazima upeleke cheti cha kuzaliwa, kuna waliopeleka affidavit tu ambazo ni rahisi kughushi(forge), unaenda na mtu yeyote mahakamani au kwa mwanasheria unasema alikuwepo nilipozaliwa kisha unalipia stamp duty haifiki mwekundu wa msimbazi mmoja au balimi 5.
Umesahau wakati wa vitambulisho vya wapiga kura haikuwa lazima kutambuliwa nambari ya nyumba au kitalu kwa wakazi wa mijini ambako wageni ni wengi.
#Ujuaji mwingi mbele giza.
#Waacheni wenye wajibu na taaluma zao wafanye kazi zao kitaalamu, sio kila kitu siasa.
Si kweli, ndugu Yangu alipoteza voting ID akapewa mpya bila Fingerprints walichofanya ni ku retrieve tu data zake na kumpiga picha, fingerprints walikuwa nazo Tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilishashauli tuwe na utambulisho wa dunia hizi nchi zetu nyengine ni ukanjanja tu,Bora kuwa na kitambulisho Cha dunia ikafahamika moja,Sasa hivi kitambulisho Cha taifa moja moja tabu,walete Cha dunia ili ifahamike Mimi ni mkazi wa dunia hii sijatoka jupita kenge.
Unaweza kujiuliza maswali 200,na usipate jibu hata moja juu ya taifa la Tanzania hasa watu wake.
Hivi hawa ni Binadamu kutoka sayari hii ya Dunia au ni viumbe kutoka Planet X?
Binadamu aliyekamilika ni lazima awe na kumbukumbu za kutosha juu ya kila Tukio analopitia.
Tanzania hii hakuna tena anayekumbuka juu ya vitambulisho vya kupigia kura na Driving Licence kuwa vyote vina mfumo wa Biometric (unaohifadhi alama za vidole).
95% ya Watanzania wana vitambulisho vya kupigia kura vyenye mfumo wa Biometric sawa tu na Vitambulisho vya Taifa, lakini leo hii eti hivyo Vitambulisho havitakiwi kusajilia line za simu hadi viwe Vitambulisho vya Taifa.
Eti lengo ni kudhibiti uhalifu, sasa binadamu mmoja ana fingerprints ngapi kama ID za kura ambazo pia zilipatikana kama Vitambulisho vya Taifa kwa njia hiyo hiyo ya alama za vidole leo tena havifai?
Wenye akili wameshasoma mchezo, kuna kitu kinatafutwa hapo, kwa sababu fingerprints tayari watu walishachukuliwa kwenye Vitambulisho vya kura na Driving Licence, sasa kuna haja gani ya kutesa watu kiasi hiki?
Details za kila raia na fingerprints zake zipo Tayari kupitia Vitambulisho vya kura. Taifa lenye mamilioni ya wajinga wamesahau kuwa information zao zilishachukuliwa na fingerprints pia.
Neno la Mungu katika Kitabu cha Mithali linasema "Mwanangu mtafute sana Elimu na wala Usimwache aende zake”.
Poleni Watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni wa kuonea Huruma kabisa, unashindwa kujibu hoja unakimbilia sympathy ya kulia lia eti nje ya nchi sijui kumefanya nini, hata Tanzania ni nje ya nchi Ukiwa nje ya Tanzania.Hayo yote uliyoyataja hayanihusu mimi labda elimu...Halafu unafikir ukibahatisha visafari vya nje kwa hisani ya wanaume fulani ndo umepata bingo... Hata nje na siye tumeenda, tena siyo nchi moja na hatuna hizo shobo zako kwa hao watu.... Wewe kama unawaona mungu watu kisa wanakupa mkate ni wewe... Mimi hawanisaidii kwa lolote.
Jibu hoja mkuu Tatizo lenu mna fani ya kuteka watu tuanawa
Halafu utakuta yeye keishajisali NIDA na line zake vilevile kisha anakuja kupumbaza wajinga waliojazana JF huku wakijifanya sana akili kuliko wengine.
Hebu shangaa mwenyewe mkuu xhivi kumiliki laini ya simu Tanzania kunahitaji umakini kuliko kuwa na passport au leseni ya udereva?
Maboresho gani bila kuchukua fingerprint tena, kwa hiyo mtakuja na scene ya kuboresha tena National ID, nyie watu kwa kuharibu pesa ya nchi hamjamboMbona unadabili gia angani?
Madai yako hasa ni kuhusu vitambulisho vya NIDA? Au vitambulisho vya mpiga kura?
Maelezo yako ya awali ni kuhusu kutokuwa na umuhimu wa vitambulisho vya NIDA, ukapewa umuhimu wake umekuja na hoja nyingine kabisa ambazo kiujumla tunaweza kusema ni maboresho ya daftari la mpiga kura.
Na huku sasa ndio vijana wanaita kuhamisha magoli baada ya kubanwa na kukosa hoja kwenye malamiko yako ya awali.
Sasa turudi kwenye malalamiko yako ya uboreshaji daftari la mpiga kura, nikimaanisha hayo yote ya kudhibiti udanganyifu kwenye vitambulisho vya mpiga kura, kimsingi nakubaliana na wewe, tena ongeza na madai ya tume huru ya uchaguzi.
Kwenye siasa tubaki na siasa ila kwenye mambo ya kitaaluma kama ya kiusalama tujenge hoja au kukosoa au kushauri kama tuna uelewa mpana wa jambo husika, au kama hiyo ndiyo taaluma yetu.
Kwa hiyo Database ya voter's ID ime expire?Sasa mkuu hayo ya ndugu yako yanahusika vipi? Naongea hii ni kazi yangu najua fika fingerprint technology ilivyo na kwa nini wanachukua upya kwa mashine mpya, notice wanatumia machine zilezile kila kona. Voting ID haihitaji kurenew fingerprints kwa kua copy waliyonayo ni ya picha sio format inayotakiwa na hizi machine mpya. Ni ngumu kukuelezea ila we elewa fingerprint za sa hivi original format yake inayotunzwa kwenye computer sio kama picha, ingawa wanaweza kuprint ukaona picha, ina data nyingi zinazotumika kukuidentify unapoweka kidole kwenye machine. We bisha ila naishia hapa maana naongea kitu ambacho nina uhakika nacho 100% nimefanya kazi kwenye upande wa software ya kusoma fingerprints
Jitafakari ulicho andika!!Hakuna la maana kinachofanyika hakuna tofaut kupata voter id,ili kupata voter id unahitaji kutambuliwa na mkit mtaa au kijiji mbele ya mawakala wa vyama vya siasa.Hvyvyo kwa sasa usipokua na vyet vya kuzaliwa mwenyekiti atakuandikia barua utambulisho bas hvyo uhamiaji ni kugonga mhuri tu na maswali mepesi.Tangu jiwe aingie madarakani viongozi wa serkali wameacha kufikiri na kuheshimu sheria.Wanamuangalia jiwe kichwa chake kikoje na wamempatia kweli.Yeye anajiona amewaweza lakini kumbe wanamuona babu mwenye vituko hvyo ukitaka mali yake msifie tu