Pre GE2025 Nakusudia kutetea Kiti cha Ubunge Uchaguzi Mkuu Oct. 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
wote na nani mnajua nini πŸ€“

hayo ni maoni na mtazamo wako. Enjoy freedom of expressionsπŸ’
Wanajf🀣 wote tunajua unatetea maslahi binafsi. Disclose jimbo kwanza mkuu.
 
Sasa akitaja jimbo maana yake ame disclose taarifa zake. Mtu anatumia ID feki halafu unamwambia ataje jimbo.
Amesema wanajimbo wamemlazimisha as amefanya kazi nzuri, afanye kudisclose jimbo tuone hayo mafanikio.
 
wote na nani mnajua nini [emoji851]

hayo ni maoni na mtazamo wako. Enjoy freedom of expressions[emoji205]
Ingekuwa unaomba kuendelea kuwa mwalimu kwa mashahara wa 400k ndio tungejua kweli wewe mzalendo, ila ubunge wa 16M achaa we hata Mimi ningebaki.
 
Hongera Mheshimiwa kama ni kweli.

Ila walimu ndio wazalendo namba moja Nchi hii
 
Wanajf🀣 wote tunajua unatetea maslahi binafsi. Disclose jimbo kwanza mkuu.
Ile muhimu zaidi ni kwamba I speak to you like I always use to engage with wanainchi jimboni πŸ’
Na kwa maneno siwez mrithisha kila moja..

every one anataka hoja yake iskizwe na kujibiwa..
For now itoshe tu kusema nimeskiza maoni na kilio ya wanainchi wangu, nimetafakari sana na kwakweli nimeridhika I deserve to represent the again mjengoni kwa ngwe nyingine πŸ’
 
Hongera Mheshimiwa kama ni kweli.

Ila walimu ndio wazalendo namba moja Nchi hii
Asanti sana,

Mi na amini even you ni mzalendo ispokua kwa maoni na mtazamo wako walimu ndio wazalendo no.1 ,
well and good, hamna kitu mbaya πŸ’
 
Ingekuwa unaomba kuendelea kuwa mwalimu kwa mashahara wa 400k ndio tungejua kweli wewe mzalendo, ila ubunge wa 16M achaa we hata Mimi ningebaki.
next time tutaingalia hiyo tuone kama tunaweza kuibust na kuiboresha kidogo.
hata hivyo itategemea hali ya uchumi itakavyokua kwa wakati huo πŸ’
 
Amesema wanajimbo wamemlazimisha as amefanya kazi nzuri, afanye kudisclose jimbo tuone hayo mafanikio.
nilieleza mapema kwamba ngwe ya kwanza ya uongozi wangu hatukufanya vizur sana lakin tulijitahidi πŸ’
Changamoto ilikua ni kubeba vipaumbele vyote jimboni tukawa tunaenda navyo vyote kwapamoja kwa utekelezaji. Hii ilituchelewesha sana kufika maendeleo tulokusudia πŸ’

Ngwe hii inayoishia next year tukaamua kwenda na vipaumbele vichache vinavyotegemeana sana, yaani
Maji,
Afya na
Elimu
Tuliona hivyo v3 tukifanikisha basi vipaumbele vinginevyo vyote itakua ni rahisi sana kuvifikia.
Maana yake kukiwa na huduma hizo huhimu kwa uhakika na vya kutosha, mathalani maji yapo ya kutosha, afya madaktari na madawa ya kutosha, watu wamepewa elimu ya msingi, elimu ya biashara, kilimo na ufugaji mengine yanajipa tu au sio πŸ’
 
Utatusaidiaje kwenye suala la umeme na sukari?
Jambo hilo ni la kisekta,

na binafsi nimpongeze sana waziri mwenye dhamana kwa hatua ambazo ameshachukua lakini pia hatua ambazo anaendelea kuzichukua pia πŸ’

nitoe wito kwa waziri wa biashara nae kuongeza katika Jambo hili πŸ’πŸ’
 
Kirahisi rahisi tu, unakula milioni 16 πŸ˜€
 
Kirahisi rahisi tu, unakula milioni 16 πŸ˜€
Kaz ya kuongoza wananchi wenye shida, matatizo na IQ tofauti ni kazi ngumu na kubwa mno usifanye mchezo πŸ’

Achilia mbali kazi kutunga Sheria za nchi, kujadili na kupisha bajeti ya nchi πŸ’

unadhani bila kua kiongozi mwenye ngozi ngumu kisiasa unaweza vumilia vijembe, kebehi, mabezo, dharau, dhihaka na mihemko namna hii.
Ni Lazima uwe bright kichwani na smart ktk uongozi πŸ’
 
Wewe ndio yule mbunge mpiga sarakasi
mimi sarakasi najua lakini yule si mimi πŸ’
Sambasoti, shu-Fan, ishi, stua zote naruka mbaya sana aise πŸ’

Lakini pia kazi ya wananchi naifanya kwa bidii kabisaa...
 
Duuh wee mama unakula tuu mema ya nchi peke ako afu ushanogewa una taka Tena, ama kweli pesa tamuu
 
Duuh wee mama unakula tuu mema ya nchi peke ako afu ushanogewa una taka Tena, ama kweli pesa tamuu
ni kilio cha wananchi wenyewe na ni hitaji lao katika utumishi wa Jimbo πŸ’

ni kwa maslahi mapana ya wanainchi wa Jimbo langu na Taifa kwa ujumla πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…