Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

😢asante sana Manyanza ...asante
 
Single Dadi + single mom=perfect combo🥳🥳

Wacha niendelee kuvuta heri.

Hongera shoga.
Unakitabu cha mtakatifu Ritha wa Kashia?ukichanganya na Imani basi siku saba nyingi zinatosha kujibiwa.
Kwa Imani yako funga siku saba ukimuombea huyo mwanaume Mungu akuoneshe kama ndie.maana kuzaa watoto kila mtu na baba yake kipengele sana.

🥺🥺
 
Sasa mambo si ndo haya.
Tatizo umbali mfipa ashakuwahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…