Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

Sema Nini Mimi Mwenyewe nakukubali sana ndani ya JF na nje ya JF. Kwanza una adabu kama zote. Alafu kwa Ngosha kama Mimi Mwanamke mwenye adabu kama zako ana nafasi yake moyoni. Halafu Wewe ni Mcheshi na hujuwi kuna na ni mpole + Adabu kama zote. Mungu akupe hitaji laki rafiki yangu. 🙏
😢asante sana Manyanza ...asante
 
Single Dadi + single mom=perfect combo🥳🥳

Wacha niendelee kuvuta heri.

Hongera shoga.
Unakitabu cha mtakatifu Ritha wa Kashia?ukichanganya na Imani basi siku saba nyingi zinatosha kujibiwa.
Kwa Imani yako funga siku saba ukimuombea huyo mwanaume Mungu akuoneshe kama ndie.maana kuzaa watoto kila mtu na baba yake kipengele sana.

🥺🥺
 
Sema Nini Mimi Mwenyewe nakukubali sana ndani ya JF na nje ya JF. Kwanza una adabu kama zote. Alafu kwa Ngosha kama Mimi Mwanamke mwenye adabu kama zako ana nafasi yake moyoni. Halafu Wewe ni Mcheshi na hujuwi kuna na ni mpole + Adabu kama zote. Mungu akupe hitaji laki rafiki yangu. [emoji120]
Sasa mambo si ndo haya.
Tatizo umbali mfipa ashakuwahi.
 
Back
Top Bottom