Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barikiwa sana mkuu
Utamuweza huyo.Mfipa
Sawa mkuu,ubarikiwe sana sana🙏🏽Utamuweza huyo.
Hakikisha unampa tu support katika ujasirilia mali wake.
Usimshike sana kiasi akose mchepuko basi ndoa itakuwa tamu.
Maana nyie wanyaki kwa kutawala wanaume mpo juu [emoji3][emoji3]
Mfipa unamweza ruhusa kutualika ubwabwa.
Sema Nini Mimi Mwenyewe nakukubali sana ndani ya JF na nje ya JF. Kwanza una adabu kama zote. Alafu kwa Ngosha kama Mimi Mwanamke mwenye adabu kama zako ana nafasi yake moyoni. Halafu Wewe ni Mcheshi na hujuwi kuna na ni mpole + Adabu kama zote. Mungu akupe hitaji laki rafiki yangu. 🙏Sawa Manyanza 🤣🤣
BekAnataka kuingiza kiungo mshambuliaji?
Nampenda sana huyu Binti Yeye Mwenyewe anajua. 😄Chukua mtoto huyo usiogope watoto.
Wanyaki ukikuta mwembamba hawazeeki mzee.[emoji23]
😢asante sana Manyanza ...asanteSema Nini Mimi Mwenyewe nakukubali sana ndani ya JF na nje ya JF. Kwanza una adabu kama zote. Alafu kwa Ngosha kama Mimi Mwanamke mwenye adabu kama zako ana nafasi yake moyoni. Halafu Wewe ni Mcheshi na hujuwi kuna na ni mpole + Adabu kama zote. Mungu akupe hitaji laki rafiki yangu. 🙏
Jehova Jireh😁😁😁Utamuweza huyo.
Hakikisha unampa tu support katika ujasirilia mali wake.
Usimshike sana kiasi akose mchepuko basi ndoa itakuwa tamu.
Maana nyie wanyaki kwa kutawala wanaume mpo juu [emoji3][emoji3]
Mfipa unamweza ruhusa kutualika ubwabwa.
Sasa mambo si ndo haya.Sema Nini Mimi Mwenyewe nakukubali sana ndani ya JF na nje ya JF. Kwanza una adabu kama zote. Alafu kwa Ngosha kama Mimi Mwanamke mwenye adabu kama zako ana nafasi yake moyoni. Halafu Wewe ni Mcheshi na hujuwi kuna na ni mpole + Adabu kama zote. Mungu akupe hitaji laki rafiki yangu. [emoji120]
Shehe Sina la kufanya wacha Mfipa ashindwe niingie Mimi 😄Sasa mambo si ndo haya.
Tatizo umbali mfipa ashakuwahi.