Namanage Account za Forex

UTAROGWA. Endelea tu
 
Kwanza ww sio trader ni mjaza Uzi tuh....ungekuwa trader ungeona risk to reward ratio pia ungeona bias ya mwelekeo wa pair husika afu pia ungenyamaza ukasubiria mwelekeo ndo uje uandike utopolo hapa...[emoji1783]
Mimi mjaza Uzi wewe ni scammer sawa bwana mdogo forex umeanza juzi una kelele nyingiiii.

Nasemaje wewe ni scammer.

Kama unazo Hela huitaji kumanage account za watu humu.

Acha ufala dogo komaa na soko.

Na hivyo videmo vyako usitutishe.

Nimetrade demo

Ninetumia simulator soft4x

Nina trade real

Nimetumia Kila aina ya takataka unayoijua wewe

Moving averages,fibo warisan,mk40 gwara, takataka zote unazozijua bwana.

Pitia post juu nimekupa Siri za kurusha soko bwana mdogo

Achana na swaga za kula Hela za watu utaliwa kiboga shauri Yako

Pesa ziko sokoni sio mifuko ya watu
 
Huyu ni newbie mazeee anashindwa hata kucostomize trading view
Ndio maana Mimi nikamwambia ninao takataka tu hata tradingview hawezi itumia huyu sio expert ni gangster wannabe.
 
Forex sio rahisi kama ulivyoandika hapo juu. Wewe utakuwa jizi tu
 
Mme-mkaanga sana.
Sababu ni fala

Hizi zinawaliza sana kwenye hii Industry.

Matokeo yake utasikia kila FX inatukanwa

Na humu JF nyuzi kibao za kuiponda FX.

Sasa sisi wengine lazima tuwaweke macho wasidanganyike na Hawa scammers.

Mtu kama anataka aingie kwenye Fx aingine mwenyewe kwa miguu yake sio kubebwa na kama ana commitment atakomaa atusue.
 
BTMM sijui robot ni indicators

I dgaf Indicators na marobot.

Nina deal na market structures,pure price action supply and demand sababu soko lolote dunia ni due forces of supply and demand.

Mengine yote ni takataka.
 
Nilicho notes kwake
Hana adabu anajibu anavyojiskia kwa mtu yoyote
Ana hasira(ichi kitu kwenye trade hakitakiwi hata kidogo)
Ataki kuonyesha hata account yake alounguza angalau awe amechoma 600+$ kidogo ndo atajuwa uchungu wa kuchoma

Basi huna angalau ipo uliyokuza atleast

Sijaona chart yake inayo eleweka ,
Sijaona sehemu anagusa hata fundamentals

Ninchokushauri

Tafuta pesa soko lipo tu get capital invest trade wise,
Withdrawal have freedom

Huwezi street husling njoo demo contest grow capital kuzidi participant wote with strickly rules upate mtaji ,

Tafuta propfirms zipo wanauza acc hadi 49$ kazi kwako kufuata rules zao

Shirikisha ndugu zako watakusaidia, toa free season kwa
 
πŸ“ŒπŸ”¨
 
Hivi kwanini mtu akaiona fursa hawezi kuvuna hadi atosheke badala yake atataka watu wengine waingie kwenye hiyo fursa kupitia mgongo wake?
 
BTMM sijui robot ni indicators

I dgaf Indicators na marobot.

Nina deal na market structures,pure price action supply and demand sababu soko lolote dunia ni due forces of supply and demand.

Mengine yote ni takataka.
BTMM robot ni indicator? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚really mkuu? Unajua usiwe unajibu kitu kama hauna ufahamu nacho lini kwenye BTMM ilikuwepo kabla ya hao bots halafu iweje itegemee bots tena? HOW?

Nikushauri fanya your own research kisha usome na btmm maana sijui utaniambia unaelewaje demand and supply strategy bila ya btmm .

Bila ya btmm ukisoma supply and demand itakuwa unabet tu hakuna la ziada yaani utajua tu kubunia hapa kuna high density ya candles basi nitafute candle ya kuchorea proximal na distal lines kisha ni shade kisha nisubiri mzigo urudi kufanya retesting ndo niingie imagine unakosa levels zote za hiyo M or W pattern kwa kusubiri a long 300+ pips trend πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kikubwa watu tusome hayo ma elliot sijui ,Demand and supply hauwezi ijua bila ya kusoma foundation knowledge the BTMM .

Am out!
 
Hivi kwanini mtu akaiona fursa hawezi kuvuna hadi atosheke badala yake atataka watu wengine waingie kwenye hiyo fursa kupitia mgongo wake?
Sababu sio Kila mtu ni mchoyo katika hii Dunia ...hapa tunapita tuh utavuna mwisho uziache kwenye meta trader ufe ndugu zako wenyeewe unakuta hawajui chochoteπŸ˜†πŸ˜†
 
Forex sio rahisi kama ulivyoandika hapo juu. Wewe utakuwa jizi tu
Ulitaka niandike adi vifungu vya Sheria mkuu ama...u can't put all the journey on jamii forums eti ili uaminike it's nonsense πŸ˜‚
 
BTMM sijui robot ni indicators

I dgaf Indicators na marobot.

Nina deal na market structures,pure price action supply and demand sababu soko lolote dunia ni due forces of supply and demand.

Mengine yote ni takataka.
Kuna kipi kigeni ambacho unatumia adi unadharau watu we raia wa maulana ☺️
 
Afu jamaa anavyojiona nondo Sasa adi nachokaπŸ₯±...najivunia kuandika huu Uzi pia am sure watu wanajifunza vitu humu japo randomly lakini watafanyaje Sasa....
 
Lol kila MTU ana strategy yake ya kuvuna hela kwenye soko la Forex. Acha kukosoa strategy za wengine by the way hakuna grail strategy kushinda zingine.


Nenda kapitie mijadala ya watu wenye akili zao kule forexfactory.com walivyoichambua hiyo Btmm utarudi hapa kubadiri ulichoandka
 

Ujuaji kupitiliza ni dhambi na wengi kinachowasumbua ni ujuaji....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…