Namanage Account za Forex

Namanage Account za Forex

Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa...na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi ntakapo maliza masomo, ndioo nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali...ili kupata ujuzi.
Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.
Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.
NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho
Karibuni nyote.
UTAROGWA. Endelea tu
 
Kwanza ww sio trader ni mjaza Uzi tuh....ungekuwa trader ungeona risk to reward ratio pia ungeona bias ya mwelekeo wa pair husika afu pia ungenyamaza ukasubiria mwelekeo ndo uje uandike utopolo hapa...[emoji1783]
Mimi mjaza Uzi wewe ni scammer sawa bwana mdogo forex umeanza juzi una kelele nyingiiii.

Nasemaje wewe ni scammer.

Kama unazo Hela huitaji kumanage account za watu humu.

Acha ufala dogo komaa na soko.

Na hivyo videmo vyako usitutishe.

Nimetrade demo

Ninetumia simulator soft4x

Nina trade real

Nimetumia Kila aina ya takataka unayoijua wewe

Moving averages,fibo warisan,mk40 gwara, takataka zote unazozijua bwana.

Pitia post juu nimekupa Siri za kurusha soko bwana mdogo

Achana na swaga za kula Hela za watu utaliwa kiboga shauri Yako

Pesa ziko sokoni sio mifuko ya watu
 
Huyu ni newbie mazeee anashindwa hata kucostomize trading view
Ndio maana Mimi nikamwambia ninao takataka tu hata tradingview hawezi itumia huyu sio expert ni gangster wannabe.
 
Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa...na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi ntakapo maliza masomo, ndioo nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali...ili kupata ujuzi.
Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.
Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.
NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho
Karibuni nyote.
Forex sio rahisi kama ulivyoandika hapo juu. Wewe utakuwa jizi tu
 
Mme-mkaanga sana.
Sababu ni fala

Hizi zinawaliza sana kwenye hii Industry.

Matokeo yake utasikia kila FX inatukanwa

Na humu JF nyuzi kibao za kuiponda FX.

Sasa sisi wengine lazima tuwaweke macho wasidanganyike na Hawa scammers.

Mtu kama anataka aingie kwenye Fx aingine mwenyewe kwa miguu yake sio kubebwa na kama ana commitment atakomaa atusue.
 
[emoji23][emoji23] mbona ume support nilichoandika? Sijui kitu kivipi ? Umekaa na mimi tukashare analysis? Kwanza kujua strategy na management ya account ni vitu viwili tofauti na hakuna high paying strategy eti strategy fulani na fulani itakupa majibu chanya [emoji1][emoji1] mtu anaweza kutumia support and resistance na usimfikie hata maana kujua strategy na management ya account ni vitu viwili tofauti.

Kingine ni kwamba kama hauna basic ya BTMM bado haujajiita trader believe me fuatilia ma mentors na traders wakubwa woote hiki kitu hawawezi kukwambia ila woote wana rely kwenye BTMM maana ndiyo inakupa mwangaza wa wapi soko linaenda .

Ukielewa vizuri BTMM kujua zones za demand and supply inakuwa childs play kwako .

Yoote uliyoaandika kuanzia risk management na position ina deppend mtu na mtu mfano kuna mtu hatumii stop loss kabisa ila wewe ukimuona na trading yake unaweza sema ni begginer hajui kitu?

Kingine kwenye mtaji unaeza anza na wowote na positions ukaweka zozote unazotaka deppend on your magin though itakuwa very risky kwa begginer ila fuatilia uone watu wanaanza hadi na 10 usd na wanaipandisha mpaka 10k ++ usd so ni experience ,foundation na mentality ya mtu ndo ina play part kubwa.
BTMM sijui robot ni indicators

I dgaf Indicators na marobot.

Nina deal na market structures,pure price action supply and demand sababu soko lolote dunia ni due forces of supply and demand.

Mengine yote ni takataka.
 
Nilicho notes kwake
Hana adabu anajibu anavyojiskia kwa mtu yoyote
Ana hasira(ichi kitu kwenye trade hakitakiwi hata kidogo)
Ataki kuonyesha hata account yake alounguza angalau awe amechoma 600+$ kidogo ndo atajuwa uchungu wa kuchoma

Basi huna angalau ipo uliyokuza atleast

Sijaona chart yake inayo eleweka ,
Sijaona sehemu anagusa hata fundamentals

Ninchokushauri

Tafuta pesa soko lipo tu get capital invest trade wise,
Withdrawal have freedom

Huwezi street husling njoo demo contest grow capital kuzidi participant wote with strickly rules upate mtaji ,

Tafuta propfirms zipo wanauza acc hadi 49$ kazi kwako kufuata rules zao

Shirikisha ndugu zako watakusaidia, toa free season kwa
 
Wewe nawe hujui kabisa kitu.

Strategy Tatu zenye uweze kukupa matokeo chanya zote zimebase kwenye market structures.

1. Dow theory

2. Wyckoff theory

3. Eliott wave theory

Entry strategy

Supply and demand ni Best of the best sababu inakupa uwezo wa kukadiria precisely number of pips for SL and TP.

Supply and demand inakupa ubabe sokoni wa kutrade kama big banks (institutional strategy and smart money) wakati Gani wanaingia sokoni na wakati wa kutoka.

SR,TL,MAs, Fibonaccci tools hizi assistance tools tu sio za kuzitegemea sana.

Unaweza ukawa unajua hayo madude yote na still ukapigwa kama kawa sababu hujui risk management and position sizing.

Mtu ana kimtaji Cha dollar 200 anafungua order 5 za lot size ya 0.01 hii ni betting my friend.

Au ana kimtaji Cha dollar 2000 anafungua order 7 za 0.1 hii pia ni betting utapigwa tu utake usitake utakuwa emotions za ajabu sokoni. Once sokoni likianza enda ndivyo sivyo sababu ya earli entries utakata loss hadi hapo unapunguza mtaji utawipe account kwa staili hio

So risk management and position sizing itakufanya ujue ni kiasi gani utalose first hili ndio la msingi (ujue kwanza unataka lose kiasi gani mara nyingi ni 1%-2% ya account) then reward Yako itakuwa kiasi.gani.

Utaweka position Yako free out emotions utaenda mitikasi Yako kwako hizo strategy Zina accuracy kubwa kwa hakika utalipasua pasua soko.

Anyway nimemwaga Mchele kwenye kuku wengine tatizo wengine ni Bata tu wao Wanakula mavi na kunya uharo.

Forez is not for everyone. Usifate mkumbo.usiige kunya kwa tembo.
📌🔨
 
Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa...na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi ntakapo maliza masomo, ndioo nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali...ili kupata ujuzi.
Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.
Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.
NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho
Karibuni nyote.
Hivi kwanini mtu akaiona fursa hawezi kuvuna hadi atosheke badala yake atataka watu wengine waingie kwenye hiyo fursa kupitia mgongo wake?
 
BTMM sijui robot ni indicators

I dgaf Indicators na marobot.

Nina deal na market structures,pure price action supply and demand sababu soko lolote dunia ni due forces of supply and demand.

Mengine yote ni takataka.
BTMM robot ni indicator? 😂😂😂😂really mkuu? Unajua usiwe unajibu kitu kama hauna ufahamu nacho lini kwenye BTMM ilikuwepo kabla ya hao bots halafu iweje itegemee bots tena? HOW?

Nikushauri fanya your own research kisha usome na btmm maana sijui utaniambia unaelewaje demand and supply strategy bila ya btmm .

Bila ya btmm ukisoma supply and demand itakuwa unabet tu hakuna la ziada yaani utajua tu kubunia hapa kuna high density ya candles basi nitafute candle ya kuchorea proximal na distal lines kisha ni shade kisha nisubiri mzigo urudi kufanya retesting ndo niingie imagine unakosa levels zote za hiyo M or W pattern kwa kusubiri a long 300+ pips trend 😂😂😂😂😂.

Kikubwa watu tusome hayo ma elliot sijui ,Demand and supply hauwezi ijua bila ya kusoma foundation knowledge the BTMM .

Am out!
 
Hivi kwanini mtu akaiona fursa hawezi kuvuna hadi atosheke badala yake atataka watu wengine waingie kwenye hiyo fursa kupitia mgongo wake?
Sababu sio Kila mtu ni mchoyo katika hii Dunia ...hapa tunapita tuh utavuna mwisho uziache kwenye meta trader ufe ndugu zako wenyeewe unakuta hawajui chochote😆😆
 
BTMM sijui robot ni indicators

I dgaf Indicators na marobot.

Nina deal na market structures,pure price action supply and demand sababu soko lolote dunia ni due forces of supply and demand.

Mengine yote ni takataka.
Kuna kipi kigeni ambacho unatumia adi unadharau watu we raia wa maulana ☺️
 
BTMM robot ni indicator? 😂😂😂😂really mkuu? Unajua usiwe unajibu kitu kama hauna ufahamu nacho lini kwenye BTMM ilikuwepo kabla ya hao bots halafu iweje itegemee bots tena? HOW?

Nikushauri fanya your own research kisha usome na btmm maana sijui utaniambia unaelewaje demand and supply strategy bila ya btmm .

Bila ya btmm ukisoma supply and demand itakuwa unabet tu hakuna la ziada yaani utajua tu kubunia hapa kuna high density ya candles basi nitafute candle ya kuchorea proximal na distal lines kisha ni shade kisha nisubiri mzigo urudi kufanya retesting ndo niingie imagine unakosa levels zote za hiyo M or W pattern kwa kusubiri a long 300+ pips trend 😂😂😂😂😂.

Kikubwa watu tusome hayo ma elliot sijui ,Demand and supply hauwezi ijua bila ya kusoma foundation knowledge the BTMM .

Am out!
Afu jamaa anavyojiona nondo Sasa adi nachoka🥱...najivunia kuandika huu Uzi pia am sure watu wanajifunza vitu humu japo randomly lakini watafanyaje Sasa....
 
BTMM robot ni indicator? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]really mkuu? Unajua usiwe unajibu kitu kama hauna ufahamu nacho lini kwenye BTMM ilikuwepo kabla ya hao bots halafu iweje itegemee bots tena? HOW?

Nikushauri fanya your own research kisha usome na btmm maana sijui utaniambia unaelewaje demand and supply strategy bila ya btmm .

Bila ya btmm ukisoma supply and demand itakuwa unabet tu hakuna la ziada yaani utajua tu kubunia hapa kuna high density ya candles basi nitafute candle ya kuchorea proximal na distal lines kisha ni shade kisha nisubiri mzigo urudi kufanya retesting ndo niingie imagine unakosa levels zote za hiyo M or W pattern kwa kusubiri a long 300+ pips trend [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kikubwa watu tusome hayo ma elliot sijui ,Demand and supply hauwezi ijua bila ya kusoma foundation knowledge the BTMM .

Am out!
Lol kila MTU ana strategy yake ya kuvuna hela kwenye soko la Forex. Acha kukosoa strategy za wengine by the way hakuna grail strategy kushinda zingine.

Nenda kapitie mijadala ya watu wenye akili zao kule forexfactory.com walivyoichambua hiyo Btmm utarudi hapa kubadiri ulichoandka
 
Lol kila MTU ana strategy yake ya kuvuna hela kwenye soko la Forex. Acha kukosoa strategy za wengine by the way hakuna grail strategy kushinda zingine.

Nenda kapitie mijadala ya watu wenye akili zao kule forexfactory.com walivyoichambua hiyo Btmm utarudi hapa kubadiri ulichoa

Lol kila MTU ana strategy yake ya kuvuna hela kwenye soko la Forex. Acha kukosoa strategy za wengine by the way hakuna grail strategy kushinda zingine.

Nenda kapitie mijadala ya watu wenye akili zao kule forexfactory.com walivyoichambua hiyo Btmm utarudi hapa kubadiri ulichoandka
Ujuaji kupitiliza ni dhambi na wengi kinachowasumbua ni ujuaji....
 
Back
Top Bottom