Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Huna hadhi ya kubishana na Mimi wewe takataka.Out of this shit bse you shit yourself infront of traders. Big boys kama bankers wenyewe wanatumia indicators kama moving average halafu unatokea pimbi mweupe hapa unaongea ujuha.
Papasi mwekundu wee
Indicators Zina lag.Huwa nawaacha tu pimbi kama hao. Professional traders wengi hata kama anatumia price action kwa kiasi kikubwa bado huwa wanaindicator za kuwasidia ku-confirm hiyo price action. Not complicated indicators, they use mostly moving averages. That's all.
Endelea kukariri maisha.Indicators Zina lag.
Msiwe mnakaza fuvu sawa vijana.
Unapasaa utumie indicators zilizopo kwenye bichwa lako sawa bwana mdogo.
Huo ubongo wako ulioza na na hayo macho Yako kuwe na connection upate indicators asilia.
Sawa mlugaluga.
Naijua vizuri sana price action pengine kuliko wewe unavyoijua.Indicators Zina lag.
Msiwe mnakaza fuvu sawa vijana.
Unapasaa utumie indicators zilizopo kwenye bichwa lako sawa bwana mdogo.
Huo ubongo wako ulioza na na hayo macho Yako kuwe na connection upate indicators asilia.
Sawa mlugaluga.
Bado tuna siku nyingi kuumaliza huu mwaka, keep going utatoboa tu japo msoto wa forex sio poa usikie kwa mwenzako tu usiombe ukupitie utajuta kuijua forex[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa mkuu
Haaa ila we jamaa ndo zero kabisa...embu nipe concept ambayo unadhani unaijua siijui...maana wabongo kwa kujifanyaga maexpert hamjamboBado tuna siku nyingi kuumaliza huu mwaka, keep going utatoboa tu japo msoto wa forex sio poa usikie kwa mwenzako tu usiombe ukupitie utajuta kuijua forex
MINDSET/PSYCHOLOGY IS EVERYTHING IN TRADING
Ukielekezwa uwe muelewa kjn.....u're still young,hatukuamini pia hio trading ni riskyUnajua sio Kila anaejiita __fx ni compitent trader...Kuna watu hawajui kwamba hawajui....rip born to fx
Hujui usemalo kijana.Habari Wana jamii forums
Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi nitakapo maliza masomo, ndio nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017 ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali ili kupata ujuzi.
Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.
Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.
NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho
Karibuni nyote.