Namanage Account za Forex

Namanage Account za Forex

Out of this shit bse you shit yourself infront of traders. Big boys kama bankers wenyewe wanatumia indicators kama moving average halafu unatokea pimbi mweupe hapa unaongea ujuha.

Papasi mwekundu wee
Huna hadhi ya kubishana na Mimi wewe takataka.

Kafie mtaroni.

Shwaini.
 
Huwa nawaacha tu pimbi kama hao. Professional traders wengi hata kama anatumia price action kwa kiasi kikubwa bado huwa wanaindicator za kuwasidia ku-confirm hiyo price action. Not complicated indicators, they use mostly moving averages. That's all.
Indicators Zina lag.

Msiwe mnakaza fuvu sawa vijana.

Unapasaa utumie indicators zilizopo kwenye bichwa lako sawa bwana mdogo.

Huo ubongo wako ulioza na na hayo macho Yako kuwe na connection upate indicators asilia.

Sawa mlugaluga.
 
Indicators Zina lag.

Msiwe mnakaza fuvu sawa vijana.

Unapasaa utumie indicators zilizopo kwenye bichwa lako sawa bwana mdogo.

Huo ubongo wako ulioza na na hayo macho Yako kuwe na connection upate indicators asilia.

Sawa mlugaluga.
Naijua vizuri sana price action pengine kuliko wewe unavyoijua.
 
Capital doesn't matter skills does.View attachment 2320878
IMG-20220811-WA0015.jpg
View attachment 2320877View attachment 2320880View attachment 2320879
 
Kwa mentality yako mleta mada nakushauri jiunge FREEMASON tu, achana na FOREX utakufa mapema
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa mkuu
Bado tuna siku nyingi kuumaliza huu mwaka, keep going utatoboa tu japo msoto wa forex sio poa usikie kwa mwenzako tu usiombe ukupitie utajuta kuijua forex

MINDSET/PSYCHOLOGY IS EVERYTHING IN TRADING
 
Bado tuna siku nyingi kuumaliza huu mwaka, keep going utatoboa tu japo msoto wa forex sio poa usikie kwa mwenzako tu usiombe ukupitie utajuta kuijua forex

MINDSET/PSYCHOLOGY IS EVERYTHING IN TRADING
Haaa ila we jamaa ndo zero kabisa...embu nipe concept ambayo unadhani unaijua siijui...maana wabongo kwa kujifanyaga maexpert hamjambo
 
Ongeza maarifa kidogo.
IMG-20220817-WA0041.jpg
IMG-20220817-WA0041(1).jpg
IMG-20220817-WA0037.jpg
IMG-20220817-WA0036.jpg
IMG-20220817-WA0035.jpg
IMG-20220817-WA0035.jpg
IMG-20220817-WA0031.jpg
 

Attachments

  • IMG-20220817-WA0040.jpg
    IMG-20220817-WA0040.jpg
    32.9 KB · Views: 9
Kwann unahitaj investors wakat unawez trade

Na then umedai ata account ndogo unaweza
 
Habari Wana jamii forums

Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.

Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi nitakapo maliza masomo, ndio nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017 ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali ili kupata ujuzi.

Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.

Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.

NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho

Karibuni nyote.
Hujui usemalo kijana.
Pole sana, trade pesa yako na sio ya mtu kama unajipenda.
 
Back
Top Bottom