Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa kweli amekufa ??Unajua sio Kila anaejiita __fx ni compitent trader...Kuna watu hawajui kwamba hawajui....rip born to fx
Nimeifuatilia sanaa tu na hakuna hata mmoja aliyekuwa sawa in fact strategies zoote zinazotumika huwa zinakosolewa hii haimaanishi kwamba wanaokosoa wapo sawa la! Ni mtizamo wa mtu na mtu nikijiongelea mimi kama mimi nimezisoma na kuzitumia strategies nyingi sana ila hakuna inayoingia kila sehemu kama BTMM hii ni kwa mimi na imenipa faida kubwa sana sana sanaa.Lol kila MTU ana strategy yake ya kuvuna hela kwenye soko la Forex. Acha kukosoa strategy za wengine by the way hakuna grail strategy kushinda zingine.
Nenda kapitie mijadala ya watu wenye akili zao kule forexfactory.com walivyoichambua hiyo Btmm utarudi hapa kubadiri ulichoandka
Kama unaweza kurudisha 90% nakushauri trade kwa ela yako mkuu!Nikiburn nakurudishia 90 % of your capital
Kama si mchoyo, trade mwenyewe kwa akaunti yako hadi utosheke halafu hizo ulizotosheka zigawe kwa watu wafazifanye mitaji .Sababu sio Kila mtu ni mchoyo katika hii Dunia ...hapa tunapita tuh utavuna mwisho uziache kwenye meta trader ufe ndugu zako wenyeewe unakuta hawajui chochote😆😆
Mkuu EURNZD, ni bearish, monthly na weekly time Kuna break of market structure (BMS).EUNZD Inaelekea wapi na kwanini kwa wek ijayo
Nimesoma BTMM kwa watu 3, Kuna madelina the pro..BTMM ni robot?????? Itoshe kusema wee ni pimbi mweupe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimesoma BTMM kwa watu 3, Kuna madelina the pro..
By definition BTMM, means Beat Market Maker indicator.
Ni template tu unadownload kupitia google then inainstall kwenye laptop wakati huo unakuwa umeinstall MT4, so ukishainstall setup ya BTMM automatically ukifungua mt4 Kuna vitu vya kuseti then itadisplay kwenye charts. Unachotakiwa kujua ni kusoma tu components za hiyo template, baadhi ya vitu ni hivi
✓ moving averages Kuna 13ema,50ema,200ema,800ema. Hizi ndo zinabeba maana halisi ya hii template, kupitia emas, utajifunza types of trades ambapo Kuna ID50, Safe trade type 1,2,3.
✓ ADR, Average daily range
✓ market cycle, utajifunza kwamba price ikitembea levels 3 inakamilisha cycle Moja ambayo ni sawa na 1 ADR.
nimeisomaa sanaa sema nimegumduaa Kuna weakness kibao, inakupelekea kutegemea what templates gives na sio what your eyes see what on charts.
Market structure ndo Kila kitu, ukijua market structures umemaliza. BTMM haiwezi kupa accuracy Kali sana kama market structures, kwenye market structure unatumiaa EYES na BRAIN. you see what market is doing current now then you reasoning by BRAIN. Then you make DECISIONon what will happen on futures.
Nawewe mwenyewe ni tapeli mmoja wapoUmesahau kundi kubwa la matapeli pia wanajificha humu
Hehehehe Sasa kama sio indicators na robot ni Nini hasa kileBTMM ni robot?????? Itoshe kusema wee ni pimbi mweupe
Pro traders huwa hawajiangaishi na hivyo vidude vinavyokuambis u buy au usell eti vikijikunja.![]()
![]()
Pro traders chart kwao ni a,e.i,o,u yaani akitizama tu naked chart anajua soko linakwenda wapi na wapi sweke mitego abutue soko.