Namanage Account za Forex

Namanage Account za Forex

Lol kila MTU ana strategy yake ya kuvuna hela kwenye soko la Forex. Acha kukosoa strategy za wengine by the way hakuna grail strategy kushinda zingine.

Nenda kapitie mijadala ya watu wenye akili zao kule forexfactory.com walivyoichambua hiyo Btmm utarudi hapa kubadiri ulichoandka
Nimeifuatilia sanaa tu na hakuna hata mmoja aliyekuwa sawa in fact strategies zoote zinazotumika huwa zinakosolewa hii haimaanishi kwamba wanaokosoa wapo sawa la! Ni mtizamo wa mtu na mtu nikijiongelea mimi kama mimi nimezisoma na kuzitumia strategies nyingi sana ila hakuna inayoingia kila sehemu kama BTMM hii ni kwa mimi na imenipa faida kubwa sana sana sanaa.

Kingine ukichosema kuhusu kutokuwepo na solid strategy ambayo inatoa faida kuliko nyengine nakubaliana ma wewe ni kitendo cha uelewa wa mtu tu na ndicho nikichomjibu huyo nikiyem quote kwenye post zangu za nyuma ( fuatilia mjadala wetu) .

And usiwe unakimbilia conclusion bila kuj.ua background ya mjadala peace ✌️
 
Kijana una moyo mzuri ila approach uliyotumia sio. Inabidi wakulilie kukupa hela na si vice versa. Kacheki kidogo mbinu za mr kuku, sir jeff na elikana fx.

Hamna mtu anataka kujua strategy zako. Sound kitaalamu na toa impression utatoa faida.
 
Sababu sio Kila mtu ni mchoyo katika hii Dunia ...hapa tunapita tuh utavuna mwisho uziache kwenye meta trader ufe ndugu zako wenyeewe unakuta hawajui chochote😆😆
Kama si mchoyo, trade mwenyewe kwa akaunti yako hadi utosheke halafu hizo ulizotosheka zigawe kwa watu wafazifanye mitaji .

Haiwerkani useme wewe sio mchoyo kwa kutaka uwakombe kidogo walichonacho kwa mgongo wa kumanage akaunti
 
BTMM ni robot?????? Itoshe kusema wee ni pimbi mweupe
Nimesoma BTMM kwa watu 3, Kuna madelina the pro..

By definition BTMM, means Beat Market Maker indicator.

Ni template tu unadownload kupitia google then inainstall kwenye laptop wakati huo unakuwa umeinstall MT4, so ukishainstall setup ya BTMM automatically ukifungua mt4 Kuna vitu vya kuseti then itadisplay kwenye charts. Unachotakiwa kujua ni kusoma tu components za hiyo template, baadhi ya vitu ni hivi

✓ moving averages Kuna 13ema,50ema,200ema,800ema. Hizi ndo zinabeba maana halisi ya hii template, kupitia emas, utajifunza types of trades ambapo Kuna ID50, Safe trade type 1,2,3.

✓ ADR, Average daily range
✓ market cycle, utajifunza kwamba price ikitembea levels 3 inakamilisha cycle Moja ambayo ni sawa na 1 ADR.

nimeisomaa sanaa sema nimegumduaa Kuna weakness kibao, inakupelekea kutegemea what templates gives na sio what your eyes see what on charts.

Market structure ndo Kila kitu, ukijua market structures umemaliza. BTMM haiwezi kupa accuracy Kali sana kama market structures, kwenye market structure unatumiaa EYES na BRAIN. you see what market is doing current now then you reasoning by BRAIN. Then you make DECISIONon what will happen on futures.
 
Ningemshauri kama target yake ni kumanage account za watu basi aachane na hela za watu why? Kwa sababu forex ni probability model, inawezaa tokea umepoteza pesa za watu ukaplelekwa polisi na pia unaweza hatarisha maishaa kabisaa. Juzi to born to fx kazikwa msoma wamemrogaa watu. Sahivi Hali ni ngumu sanaa kupata pesa kwa mazingira yeti ni ngumu sanaa Sasa kweli itokee umepotezaa pesa za watu so utakufaa tu.

Sasa njia nzuri na ndio na Mimi naifahamu vizuri jamaa zangu wanafanya na imewasaidia, we lipia challenges kwenye hizi kampuni my forex Fund na FTMO nunua challenges kulingana na capital Yako, utapewa mitihani miwili phase 1 na 2 ukipass, utakuwa funded, so utamanage kwa niaba ya kampuni, na if happen umeunguzaa pesaa Kuna MUONGOZO wao utasomaa.

Don't try to take money from anybody, pesa IPO kwenye MT4 Ama MT5, changamoto ni kuichukuaa ndo mtihani, ukiweza tu umeulaa mwingii mkuu.

MT4 ndo mgodi wa dhahabu sema ukienda vibaya unanyonywa damu , ila ukitoka salama umeula mwingii.

* Asante sanaa***
Kama upo vizuri tunaweza kuwa tunashare. Analysis for learning purpose.
 
Nimesoma BTMM kwa watu 3, Kuna madelina the pro..

By definition BTMM, means Beat Market Maker indicator.

Ni template tu unadownload kupitia google then inainstall kwenye laptop wakati huo unakuwa umeinstall MT4, so ukishainstall setup ya BTMM automatically ukifungua mt4 Kuna vitu vya kuseti then itadisplay kwenye charts. Unachotakiwa kujua ni kusoma tu components za hiyo template, baadhi ya vitu ni hivi

✓ moving averages Kuna 13ema,50ema,200ema,800ema. Hizi ndo zinabeba maana halisi ya hii template, kupitia emas, utajifunza types of trades ambapo Kuna ID50, Safe trade type 1,2,3.

✓ ADR, Average daily range
✓ market cycle, utajifunza kwamba price ikitembea levels 3 inakamilisha cycle Moja ambayo ni sawa na 1 ADR.

nimeisomaa sanaa sema nimegumduaa Kuna weakness kibao, inakupelekea kutegemea what templates gives na sio what your eyes see what on charts.

Market structure ndo Kila kitu, ukijua market structures umemaliza. BTMM haiwezi kupa accuracy Kali sana kama market structures, kwenye market structure unatumiaa EYES na BRAIN. you see what market is doing current now then you reasoning by BRAIN. Then you make DECISIONon what will happen on futures.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
shiriki demo contest mshindi anapata 1000$ wa kwanza ijumaa hii ndo uanze kusema we pro bure kushiriki mzee ila rules zipo ukifail unakuwa disqualufied
 
BTMM ni robot?????? Itoshe kusema wee ni pimbi mweupe
Hehehehe Sasa kama sio indicators na robot ni Nini hasa kile

Ni takataka Ile

Pro traders huwa hawajiangaishi na hivyo vidude vinavyokuambis u buy au usell eti vikijikunja.[emoji1787][emoji2]

Pro traders chart kwao ni a,e.i,o,u yaani akitizama tu naked chart anajua soko linakwenda wapi na wapi sweke mitego abutue soko.

Ukishaanza sikia mtu anaongea sana kuhusu market makers Jua no coward Hana ujuzi wowote.

Ndio mnatishana huko vichochoroni kuwa market makers wanawala mitaji yenu ngama wakati hamjui rules za soko kwenda vile soko linavyoenda sio nyie mnavyotaka au sijui ki indicators kinawaambia m buy.

Aisee am out of this shit
 
Pro traders huwa hawajiangaishi na hivyo vidude vinavyokuambis u buy au usell eti vikijikunja.
emoji1787.png
emoji2.png

Pro traders chart kwao ni a,e.i,o,u yaani akitizama tu naked chart anajua soko linakwenda wapi na wapi sweke mitego abutue soko.
1659354356482.png

GBPNZD taratiiibu
==
1659355089898.png
 
Back
Top Bottom