Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
94 na ni waziri, halaf kuna nchi ya kusadikika sasaHuyo Esperance Luvindao waziri wa afya kazaliwa 1994, ni pisi kali... ni medical doctor..
Si kwamba hawataki, huyo mwanamke wa kuongoza ile serikali yupo?Ni ajabu sana, US na miaka yake zaidi ya 100 ya uhuru hawataki kusikia habari ya kuongozwa na mwanamke. Sisi tunashinikizwa kwa kigezo cha demokrasia.
kwenye hio list Kuna huyo dada hapo anaitwa Emma kazaliwa 1996..94 na ni waziri, halaf kuna nchi ya kusadikika sasa
Young but atleast wana qualify kuwa hapo. Halaf kuna nchi ya kusadikika, waziri akikutana na mawazir kutoka nchi nyingine hajui nini cha kusema, hata sio dr wa health, ni kada wa chamakwenye hio list Kuna huyo dada hapo anaitwa Emma kazaliwa 1996..
Nimependa walivyotambua uwezo wa vijana.Young but atleast wana qualify kuwa hapo. Halaf kuna nchi ya kusadikika, waziri akikutana na mawazir kutoka nchi nyingine hajui nini cha kusema, hata sio dr wa health, ni kada wa chama
TrueWizara 17 zinazoongozwa na wamama ni 8 zinazoongozwa na wanaume ni 9, hamna cha ajabu hapo kama uwezo wanao acha waongoze
Wanatoa wapi uwezo! Hizo wizara xinaongozwa na make kama waziri na mume wake kama waziri kivuli.Wizara 17 zinazoongozwa na wamama ni 8 zinazoongozwa na wanaume ni 9, hamna cha ajabu hapo kama uwezo wanao acha waongoze
Ule ban kivipi wakati imeandikwa lipumbu?kuna huyo mheshimiwa wa home affairs anaitwa lipu.... nisije kula ban kisa jina la wazir
Nini hikisijasema hivyo, bali nilichomaaanisha ni kwamba Christian Nations zinamaendeleo kulinganisha na non-Christian nations, hata baadhi ya nchi za kiislamu au budhism ambazo zimekubali kufwata western Christian way of life zina maendeleo pia mfano qatar, uae, Japan, Korea, china & co. …
Hon:Lucia Lipumbukuna huyo mheshimiwa wa home affairs anaitwa lipu.... nisije kula ban kisa jina la wazir