Tusubiri Tuone Nyoka Atakavyowatembelea Mambo yatakuwaje?Rais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
View attachment 3280440
Hadi leo? Kuna shida gani huko?Population ya Namibia ni less than 4m,huyo Mama atamudu
Nasikia harufu ya bikiniRais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
View attachment 3280440
Naona kama mazombi tu watu wanavuta kilo halafu wapo seriousHongereni Namibia, Afrika tunaanza wengine wanafuata
Equatorial guinea, Cameroon,Gabon, Uganda, wanaotawaliwa na Marais wa kiume waliongangania madarakani kwa zaidi ya miaka 30 wana nini Cha kuwazidi Namibia?Watalia na kusaga meno.! Na hakuna wa kuwaokoa.
Ujerumani ametawala mwanamke kwa muda mrefu na hajaharibuNi ajabu sana, US na miaka yake zaidi ya 100 ya uhuru hawataki kusikia habari ya kuongozwa na mwanamke. Sisi tunashinikizwa kwa kigezo cha demokrasia.
Kazaliwa 1991Huyo Esperance Luvindao waziri wa afya kazaliwa 1994, ni pisi kali... ni medical doctor..
Sijambo habari ya huko ulipo?Waziri wa fedha hujambo?
Huku nahisi kutengwa tu jmnSijambo habari ya huko ulipo?
Hawa bila shaka wamefanikiwa kufikisha 50/50Rais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
View attachment 3280440
Kweli maisha yanakimbia balaa, Ke wa 1994 tayari ni Muhenga namna hii?Huyo Esperance Luvindao waziri wa afya kazaliwa 1994, ni pisi kali... ni medical doctor..
Pole sanaHuku nahisi kutengwa tu jmn