G
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.
Sheria ya Marekani (Title 18, USC Β§ 3181β3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Kama tuliwahi kuruhusu Mtanzania achukuliwe na FBI ina maana hata sisi tukimtaka mtuhumiwa wetu tutampata kwa kupitia ile Mutual Legal Assistance Treaty - (MLAT) ambayo tumeridhianaUmeulizwa Mmarekani aliyerudishwa wewe unajibu Mtanzania aliyepelekwa Marekani.
Waweza kuwa uko USA lakkni wewe siyo white collar fellow. Unaweza kuwa mfagia makaburi au mzoa taka kwenye malori. Toa hoja tu lakini usidhani kusema kuwa "sisi tulio Marekani". Wengi wenu mnashinda 24/7 kusafisha mabibi vizeeWajinga wajinga tuulizeni sisi ambao tupo US na tunajua sheria ! Ni lazima order ya deportation kutoka US itoke kwa judge sio wanasiasa . Hakuna judge USA ambaye anaweza hata kupoteza muda kusikiliza kesi ya kijinga hivi hivyo kisheria hawezi kurudishwa
Waweza kuwa uko USA lakkni wewe siyo white collar fellow. Unaweza kuwa mfagia makaburi au mzoa taka kwenye malori. Toa hoja tu lakini usidhani kusema kuwa "sisi tulio Marekani". Wengi wenu mnashinda 24/7 kusafisha mabibi vizee
Hizi kauli zimewafanya baadhi washindwe kujaribu maisha wakiwa home kwa kuogopa kuchekwa na kufa masikini..ukiona mtu anaongea kama wewe hapa Jua hauna hata chembe ya exposure..Waweza kuwa uko USA lakkni wewe siyo white collar fellow. Unaweza kuwa mfagia makaburi au mzoa taka kwenye malori. Toa hoja tu lakini usidhani kusema kuwa "sisi tulio Marekani". Wengi wenu mnashinda 24/7 kusafisha mabibi vizee
Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.
Sheria ya Marekani (Title 18, USC Β§ 3181β3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Narudia tena, kwa mchakato wa Kimahakama hamuezi kumuondoa Mange Marekani! Lakini nikuulize swali, yaani Mange kwa Social media tu mmemshindwa! Kawatetemesha! Sasa mnakuja na kesi ya kuhujumu uchumi? Hamuoni hata aibu? Mawazo yake yameweza kufanyiwa wa kazi! CCM na media zake zote! Na wasanii ! Na polisi na TISS mlishindwa kabisa kupambana Mange! Hadi Rais akaapishwa kwenye kambi ya jeshi! Kwa kuogopa posts za binti aliyeyoko Marekani! Ni aibuKubwa mno kwa serikali ya Tanzania!Ilipata kazi kumuondoa Mpalestina lakini ilimuondoa, hiyo ndiyo mchakato. Hawezi kuondoshwa kwa simu au barua bali kwa mchakato wa Kimahakama
ππππMnawadanganya mno hawa ngumbaru jamani.
Mtamaliza hela za abuduli nyie watu, Noo kumbe ni hela za wananchi.
π«
πππππAnataka mtoe hoja apate cha kwenda kuwaambia mabwana zake , yuko hapo kujifunza mwenzenu.
Anawaprovoke muongee apate chakunote. Mtu yoyote hata mjinga anajua Marekani haiwezi kumkabidhi Mange kwa serikali ya Tanzania, kisheria hata kihuni haitowezekana milele. Labda angekuwa na kesi ya ugaidi na marekani wapewe ushahidi usiotia shaka.
Labda ninyi ni wageni wa vijana wa CCM, wanapenda mno kuwadanganya wazee, tatizo ni wavivu kusoma na si wasema kweli. Wangekuwa wasema kweli wangewaambia wazee wao hii kitu kulingana na hali ya kisiasa iliyopo nchini haitakaa iwezekane, Nchi ambayo kila mpinzani ni ama ametekwa , amehongwa au ana kesi , Marekani ni wajinga kiasi gani wafanye hivyo?
Naamini kabisa...hajui aandike nini!πππππ
Kwa kweli.Naamini kabisa...hajui aandike nini!
Kibatala wa kuchovya. ππππKibatala wa bei za jioni.
Hivi huwa mnaandika haya mkiwa mmetoka kupuu bila kuchamba?
Hii nchi bhana ina matahira wengi πΉπΉKibatala wa kuchovya. ππππ
Kwa kweli.Hii nchi bhana ina matahira wengi πΉπΉ
Kwa vile unauza apples mitaa ya Tembisa Joburg unajiona ume panchi sanaHizi kauli zimewafanya baadhi washindwe kujaribu maisha wakiwa home kwa kuogopa kuchekwa na kufa masikini..ukiona mtu anaongea kama wewe hapa Jua hauna hata chembe ya exposure..