Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

Maisha ni kujishusha, hata Pepo ya Mungu hupatikana Kwa kujishusha na kunyenyekea.
Ukijizima data na kujishusha huteseki duniani wala mbinguni.....Shida binadamu tumeumbwa na ego.
Very trueπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
Atokee mwamba wa kishua nikajizime data kwao basi πŸ˜…πŸ˜…
Yani ukifika huko maghorofani ni kubusu mikono ya ba mkwe kila baada ya nusu saa, sidiria za mama mkwe unazifua mwenyewe....mawigi ya mawifi ni kuyapaka mafuta muda wote yanang'aa....Mwari wangu wasipokupa connection ya Kazi UN huko, njoo uniite mbwa🀣
 
Kuna mahali nimeona kama umeandika "Mwana nae mchangamfu sana uongo mwingi!". So jamaa ni Uchawa unaomlipa sasa. Ila ni mtumwa kama watumwa wengine.hakuna furaha ya maisha kwa sababu kama unavyoona jamaa anafanya hivyo siyo kwamba kwa kufarahi ila kwa kufurahisha.Kiujumla hayo si maisha ya maana
 
666 chata umetisha hapo ukweni
 
Kuna mtu alisemaga mjini ukitoa aibu unaishi. Ndo hii hapa, mwana kapita na upenyo huoo....cha msingi hiyo kazi akafanye kweli, ajijenge haya maisha asiyefanya ndo mbaka mwisho wa kufa.πŸ’ͺ
 
Kuna watu wanajua kujipendekeza balaa ila mimi huwa siwez kabisa

Ila nilichogundua baada ya kuwaangalia mtajiri wengi ni kwamba tajiri anahitaji awe na watu wa namna hii ili kurahisisha baadhi ya mambo yake,kama kufukuzia wachuchu,kufanya umafia bila kuacha alama ukiwa na machawa haya yote unafanya kirahis

Hvyo vijana ukiona boss yupo yupo tu hana kampani jipendekeze mwsho wa siku anakuwekea fungu la kila mwsho wa mwezi au la kila siku kuliko kukaa bila kazi
 
Eti sifagilii social media! Kazi umbea tu kwani huwezi kuninyamazia mambo yangu?

Nilidhania rafiki wa kushibana kumbe mmbea 😏
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daaah nchi hii vichaa wengi sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wee ni kichaa sana
 
Cha msingi ndugu yangu wewe jizime data tu
 
Kuna jamaa mwamba mmoja kaoa mtoto wa kiarabu matajiri wa mabasi. Baadae kidogo wakagaiwa basi moja liwatunze liwe lao.

Zaaaaali la mentaaali lilitokea wakati mimi nina njaaaa, akatokea demu mkali katika mitaaa......imba kwa sauti ya Juma Nature
 
Kuna wengine ukiwafanyia hivo ndo wanakuona boya na maneno maneno kibao, kinashangazi nao wakija utaskia "huyu nae vp", kina ba mdogo watasema "huyu jamaa atakuja kuwauwa hum ndani ili arithi mali"
Yaan they'll talk every negative thing.
Chamsingi mwanaume kupambana tu uwe independent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…