Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
-
- #101
Nikitaka kuuza balo za mitumba kwa jumla au crocs jumla hapo kko fremu napata kwa bei gani
Mchina bongo kapawezararaa reree kun kampuni flani hivi inauza vitu quality sana iko Italy. Nimeshau jina ila mahotel mengi ya zanzibar yananunua decor kutoka kwao. Hawa jamaa products zao ni quality ila bei mbaya.
Mchina kariakoo kaharibu soko sana, zara na ujinga ujinga gani katoa quality ya leo zote. Leo hii zara mpaka ya elfu 9 ipo
Winga anakusoma unavyokuja, umepiga jeans ki-modo anakwambia njoo nikupeleke kwenye jeans and mind you zile wanazofungua wanauza kwa buku nne mpaka 5 , zinazobaki ni serembua na mafua, wanazitundika wanaziuza kwa buku 15.Au sio? Hiyo ndo njia ya kumjua winga au? Winga anauzaga kila kitu ukimwambia unataka soksi anakupleka akuuzie, ukimwambia taulo anakupleka yeye. Ukimwambia jinzi anataka akupeleke. Yani winga inshort anakuganda akuuzie yeye kila kitu.
Although wauza nguo za watoto wengi pale ilala wanawake so wa kiume ni mawinga. Alafu wanakuaga wanatembea kikundi.. mara nyingi sana anakubembeleza kweli ununue. Lakin pia ni washereheshaji sana na muda mwingine anawez kuwa tayari kwenda kubeba nguo sehem nyingine akuletee ulipo uchague . Watu hawa achna nao kabisa.. lakin pia usikubali kupokelewa nje ya soko na mtu eti akupeleke anapouzia
Scenario:
Kuna siku niko zangu ilala nikakutana na Bi mama sijui kama kichwa kilipata moto au lah! Ananiambia anatka nguo nzuri za watoto kwa buku mbilimbili kwa sabau ya wateja" hata salamu ilishjndikana mana alikuwa ameshikilia hili kama Wimbo. Na macho yake kama anataka kulia hivi.. sijui sasa huko alipotoka alilazimishwa ajitegemee au lah.
Kalaga baho nikampeleke kwabi mkubwa flani hivi.. ile ni mistake mana winga anakupeleka kwemye nguo za bukubuku mana tayari ushamtajia bei yako na yeye anataka aishi humohumo
Mafuta ya kula wanapaka na zile karatas za kaboni ya blue, hii tunaita mtui yani unakutana na nguo imekolea rangi vya kutosha alaf inateleza kama mpyaWinga anakusoma unavyokuja, umepiga jeans kimodo anakwambia njoo nikupeleke kwenye jeans, na mind you zile wanazofungua wanauza kwa buku nne mpaka 5 , zinazobaki ni serembua , wanazitundika wanaziuza kwa buku 15!
alafu jina lolote lililopo kwenye Jeans wanakwambia hii ndio brand, usiache kabisa, sasa wewe ingia kingi!
Jeans zote za karume na Kariakoo mtaa wa Uhuru pale china-plaza na Narungombe, na Aggrey wamezipaka mafuta ya chakula, zinateleza na zinakuwa kama mpya, ukingia kingi ukanunua na kuzifua siku moja siku ya pili unaaigeuza gunia la deki.
Wacha kabisa, alafu sasa wanakaa jioni jioni zile taa ra barabarani zinazidi kungarisha, unashngaa jeans inapakwa mafuta na kupigwa karatasi ya blue, mazee hii bongo feki kuanzia chini mpaka juu!Mafuta ya kula wanapaka na zile karatas za kaboni ya blue, hii tunaita mtui yani unakutana na nguo imekolea rangi vya kutosha alaf inateleza kama mpya
Walipe kodi, mama anahitaji kodi aboreshe maisha ya Watanganyika, acheni janja janja, kutongozwa na kutongoza mnajua na majina ya gesti ila kulipa kodi hamjui ?
😂😂😂we mmama kibokoKusajili jina BREL ni Tshs 20,000/-
TIN = Bure TRA.
Bado winga hawezi ila ya nyagi , ndom, mchemsho, mkongo, vumbi la kongo mnazo?
gucci haahaa huyu mwamba nae mchina alichofanya daaaahraraa reree kun kampuni flani hivi inauza vitu quality sana iko Italy. Nimeshau jina ila mahotel mengi ya zanzibar yananunua decor kutoka kwao. Hawa jamaa products zao ni quality ila bei mbaya.
Mchina kariakoo kaharibu soko sana, zara na ujinga ujinga gani katoa quality ya leo zote. Leo hii zara mpaka ya elfu 9 ipo
Mkuu nahitaji kukufikia PM ila nashindwa, nakupataje?Ukiwa pointa, haya mambo ya uwinga kias lazima uyajue mana wote wanafanana utendaji na uendeshaji wao wa shughuli za kila siku.
Kama unataka kuwa pointa pia, jitahidi kujua chimbo na kona.
Ukiwa pointa wa mitumba kama ilala au karume unachotakiwa kukijua ni "negriation skills" kumekuwa na lugha nyingi za kibiashara. Muuzaji utamsikia mara kadhaa kulialia kuwa hailipi ila anakusaidia wewe kesho urudi, haina maslah au sio bei yake ila wewe ndo mnaanza kufanya biashara. Hizi ni lugha ambazo winga au pointa lazima azijue
NimekutextMkuu nahitaji kukufikia PM ila nashindwa, nakupataje?
Nipe ushauriraraa reree unawekeza lini hapo kariakoo mkuu na una plan na kuuza nn
Boss naweza kuja pmraraa reree unawekeza lini hapo kariakoo mkuu na una plan na kuuza nn
NimekupmBoss naweza kuja pm
Naweza kuziona, baiskeli mtaa wa mafia na swahili kule au muhoro na msimbazi umeenda?. China plaza pale ulifika?Minataka chimbo la baiskel za japan