Namna ya kujilinda na kuwa salama unapokuwa Bar

[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu utabondwaa wee hayaa. Lol
 
mnachekesha sana
 
Kwenye ulimwengu wa walevi, busara huwa inapotea baada ya kugida chupa ya nne n.k

Huwezi kupigana na mtu aliyepoteza fahamu kwa maneno ya kistaarabu.

Always stay strapped au uwe na kitu cha kujihami.

Bar ni high risk zone, usipozingatia ulinzi wako mwenyewe, utakuwa statistic kwenye magazeti ya kesho.
 
Sasa kuacha gari sometimes ni makusudi kwasababu tufanye umelewa Sana huwezi kudrive anafanyaje,lazima uliache,ila sijawahi kuacha Kwa kusahau,siku nyingine unampigia mwana ambaye hajalewa akufuate
Yani huyu wakili anaacha bar ya sehemu fulani amepaki anaenda kulala bar nyingine kuna kipindi alikaa week nzima hana gari! Na hapo ukipita tu anakuita anakulazimisha unywe! Na masaa yanavyozidi kusogea anakuwa mkali anasema ameshakipa kesho yake madeni lukuki🙌🏾 Duhh bora kulewa kitajiri tu hizi za kama unakunywa gongo ya shinyanga ni hatari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…