Nani alikushika wakati unapanda maana aibu ni yake 🤣🤣Huyu hasikii pombe ya kawaida hivyo vi kvant vyenyewe anagida kama maji! Sidhani kama kuna siku atarudi kwenye beer yani sidhani! Pombe za gharama ndio nzuri huwezi kufananisha kvant na JD lazma utafanya mambo ya aibu, lakini jd inakaa masaa kadhaa unarudi kwenye uhalisia no hangover unaendelea na mishe zako lakini kvant sjui hansons(henessy pori) lazima utie aibu! Kuna siku nilikata hansons tule tuchupa tuwili, nilikuwa nachekacheka kama kichaa mara nipande juu ya meza! Lakini ukinywa zako jagger au VSOP huwezi jinyeanyea kama huyo mzee..
My patner in crime🤣Nani alikushika wakati unapanda maana aibu ni yake 🤣🤣
Sasa mafundo makubwa kubwa nipate wenge chapu sio ...Upako unaendana na Malta 🤣Basinsasa ntakunywesha🤣
Alikuwa anatafuta msanii stejini huyo 🤣My patner in crime🤣
Wewe ni legend 🍺💯Mimi bar naenda mara moja au hata mbili kwa mwaka , mara nyingi nalewa zangu home tu, nasiku nikienda bar , ni stories za mpira au napiga kimya nasikiliza mziki private
Upate wenge nikuibie simu🤣 malta sitaeza itabidi uendane na vibe langu🤭Sasa mafundo makubwa kubwa nipate wenge chapu sio ...Upako unaendana na Malta 🤣
Uzuri wapanda meza ni wengi kwahiyo sio swala🤣Alikuwa anatafuta msanii stejini huyo 🤣
Kwahiyo ulivipiga vifarasi viwili ukawa unachekacheka😂 ukipata time njoo nilipoHuyu hasikii pombe ya kawaida hivyo vi kvant vyenyewe anagida kama maji! Sidhani kama kuna siku atarudi kwenye beer yani sidhani! Pombe za gharama ndio nzuri huwezi kufananisha kvant na JD lazma utafanya mambo ya aibu, lakini jd inakaa masaa kadhaa unarudi kwenye uhalisia no hangover unaendelea na mishe zako lakini kvant sjui hansons(henessy pori) lazima utie aibu! Kuna siku nilikata hansons tule tuchupa tuwili, nilikuwa nachekacheka kama kichaa mara nipande juu ya meza! Lakini ukinywa zako jagger au VSOP huwezi jinyeanyea kama huyo mzee..
Nikiwa dodoma kuna bar moja , nilikua naipenda sana , iliitwa Cape vede, nafikiri waliivunja kupisha ujenzi wa reli maeneo ya jamatini, ile bar yule mwamba tulimtajirisha sana😅Wewe ni legend 🍺💯
Kunywea hom kiuno unakiona kimoja tu haileti vibeSasa mateso yote hayo ya nini? Si bora kuacha kuwa mlevi, au laah uchukue zako vilevi ukatumie home. Lol
Hahahaa nilishaacha hayo mambo mkuu! Nakunywa mara moja sana! Na ni ndani tu!Kwahiyo ulivipiga vifarasi viwili ukawa unachekacheka😂 ukipata time njoo nilipo
😂😂🙌🏾Nikiwa dodoma kuna bar moja , nilikua naipenda sana , iliitwa Cape vede, nafikiri waliivunja kupisha ujenzi wa reli maeneo ya jamatini, ile bar yule mwamba tulimtajirisha sana😅
Seran unakunywaje pombe nyumbani kama upo mahabusu, weekend ijayo nistue upige Viji brutal kadhaa tufurahi😋Hahahaa nilishaacha hayo mambo mkuu! Nakunywa mara moja sana! Na ni ndani tu!
Sawa utakunywa utakacho,Sinywi hizo takataka mimi nakula vikali tu😅
Hiyo ninayo Hadi Leo vizibo nakusanya😂Kuna boss mmoja alikua mhindi, akienda mkienda bar akinunua beer alikua anakusanya Vifuniko vya beer ili asipigwe wakati wakulipa bill.
Huyu hasikii pombe ya kawaida hivyo vi kvant vyenyewe anagida kama maji! Sidhani kama kuna siku atarudi kwenye beer yani sidhani! Pombe za gharama ndio nzuri huwezi kufananisha kvant na JD lazma utafanya mambo ya aibu, lakini jd inakaa masaa kadhaa unarudi kwenye uhalisia no hangover unaendelea na mishe zako lakini kvant sjui hansons(henessy pori) lazima utie aibu! Kuna siku nilikata hansons tule tuchupa tuwili, nilikuwa nachekacheka kama kichaa mara nipande juu ya meza! Lakini ukinywa zako jagger au VSOP huwezi jinyeanyea kama huyo mzee..
🤣🤣 Siku hiyo ulikuwa pekee ujueUzuri wapanda meza ni wengi kwahiyo sio swala🤣
Mimi bar naenda mara moja au hata mbili kwa mwaka , mara nyingi nalewa zangu home tu, nasiku nikienda bar , ni stories za mpira au napiga kimya nasikiliza mziki private