Kitochi mezani kimepauka mpaka batani halafu nanunua kipya 😂Upate wenge nikuibie simu🤣 malta sitaeza itabidi uendane na vibe langu🤭
Hiyo ninayo Hadi Leo vizibo nakusanya😂
Bar mara moja moja sana , home kama hivi, ndio najilipuaHahaha wewe unajitambua sana.
Mm kamwe huwezi nikuta nimelewa hata nitoke bar saa 11 alfajiri.
Kama siku najiona niko na stress zangu basi ntanunua Wine - ntakunywa homme.
Ukinikuta bar napunga upepo tu, silewi
Boldly, without thinking twice! (Jox lol) sina hata kirikou😆Sawa utakunywa utakacho,
Usichotumia usikiite takataka,kwahiyo ukiwa kwenye Range rover na Mimi nipo kwenye brevis yangu nitaonekana naendesha takataka 😂
Jifunze kucheza na maneno unaonesha ni mjeuri😂
😂😂😂😂Hahah wewe ni regend, tukikupa nchi hakuna hata mia itapotea serikalini.
Utakua unaiba wewe tu kama Magu.
Huu ni utani tu mkuu mimi mtumishi kabisa🙏🏽🙆🏽♀️Basi mm sikuzoote najua seran ni mtumishi 😁 kumbe jambazi
Aah wee senses huwa zinajirudi kuna mipaka nakuwa nayo😆🤣🤣 Siku hiyo ulikuwa pekee ujue
Aanh hiko sikitaki kaa nacho tu😁Kitochi mezani kimepauka mpaka batani halafu nanunua kipya 😂
Ulidansi Awilo without knowing 🤣Aah wee senses huwa zinajirudi kuna mipaka nakuwa nayo😆
Aaah vitochi vina hela balaa kutuma kwa counter 😂Aanh hiko sikitaki kaa nacho tu😁
Huo ni mfano nimekupa,ila punguza kujiamini ,kuna mtu mkubwa Sana kwenye jeshi la polisi huwa nakunywa naye hajawahi kuvimba,Boldly, without thinking twice! (Jox lol) sina hata kirikou😆
Jamani we are anonymously here! How do u want me to act🤭
Don’t judge just convo😆
I don’t do awilos lol🤭Ulidansi Awilo without knowing 🤣
Kwanini kitetewe sana? Aanh hapana🙌🏾Aaah vitochi vina hela balaa kutuma kwa counter 😂
Ndo vinafanya Martinelli aje mezani ujue 🤣 🤣
Kitochi ni gold shauri yako, unapiga teke simu ya kusambaza mishahara isiyo na PAYE 😂
Jamani bro umechukulia serious sana mambo mi natania tu hapa wala siko namna hiyo!Huo ni mfano nimekupa,ila punguza kujiamini ,kuna mtu mkubwa Sana kwenye jeshi la polisi huwa nakunywa naye hajawahi kuvimba,
Halafu hiyo takataka sio kwa jinsi ulivyoibebelea wewe! Ni kama tu walevi wanavyoita juice, u take things too serious and personal!unione tena😱Na sijasema niko wapi unanielekeza mitaa ya dar🤣 sorry tuishie hapa!Kuna Staff mwenzangu kwasasa yupo wizarani anakunywa pombe unayoiita wewe takataka, kuna mfanyabiashara
Mmoja ana mawe ya kutosha yupo mtwara akija mjini lazima anitafute,anakunywa pombe unayoiita wewe takataka, naomba nikualike ,kama upo Dar jumamosi njoo Ubungo external kamata njia ya maji chumvi kisha shuka Paris lounge ,nataka nikuone unadharau vipi vitu wanavyotumia watu
Awilo Longomba 🤣I don’t do awilos lol🤭
Sizitaki hizo nimesema🤭Awilo Longomba 🤣
Unapoza koo nini 😂
Ipo kona ya bwiru imepakana na hoteli ya ms kabla hujafka daimond barNi las vegas kona ya bwiru?
Jamani bro umechukulia serious sana mambo mi natania tu hapa wala siko namna hiyo!
Halafu hiyo takataka sio kwa jinsi ulivyoibebelea wewe! Ni kama tu walevi wanavyoita juice, u take things too serious and personal!unione tena😱Na sijasema niko wapi unanielekeza mitaa ya dar🤣 sorry tuishie hapa!