Namna ya kukabiliana na magaidi ni kutumia mbinu wanazotumia magaidi

Ila ukasema wanatumia mafundisho ya kiyahudi kutekeleza mauaji si ndio ?

Uyahudi pale unapigana dhidi ya dini gani ?

Huwezi tenganisha Torati na utawala wa kiyahudi.
Torati ni amri za Muda(mtawala) sio amri za dini.
 
Jifunze mgogoro huo ilianza lini, makubaliano mangapi yametiwa saini kati ya Palestine na Israel.
Jifunze Israel kukalia Palestine kwa mabavu.
Ndio uje na mambo ya ugaidi.

Wapalestina ndio wavamizi hiyo ardhi ni ya wayahudi historia yao imeweka bayana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…