Namna ya kukabiliana na magaidi ni kutumia mbinu wanazotumia magaidi

Sasa kwenye hiyo aya ulioweka biblia haisemi mafundisho hapo ?
 
Sasa kwenye hiyo aya ulioweka biblia haisemi mafundisho hapo ?

Hii kichwa imejaa maji.
Wapi imesema, embu bold;
Mithali 1:8
[8]Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako,
Wala usiiache sheria ya mama yako,
My son, hear the instruction of thy father, and forsake not the law of thy mother:
 
Kuwa torati ni mafundisho kama aya inavyosema

Usisome kinyume nyume au kutoka upande wa kulia kwenda kushoto.
Soma;
Mithali 1:8
[8]Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako,
Wala usiiache sheria ya mama yako,
My son, hear the instruction of thy father, and forsake not the law of thy mother:
 
Ndicho wanachokifanya Wapalestina, wanapambana na magaidi kigaidi.
 
Kichwa changu kimejaa maji tena ? Leo kazi ipo
Hii kichwa imejaa maji.
Wapi imesema, embu bold;
Mithali 1:8
[8]Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako,
Wala usiiache sheria ya mama yako,
My son, hear the instruction of thy father, and forsake not the law of thy mother:
 
Mimi kwa upeo wangu sifahamu wewe unae fahamu nielekeze ?

Ni vizuri umesema kweli kuwa haufahamu ili ufahamishwe. Na sio kuleta ujuaji kwa mambo usiyoyajua na kubisha bisha.

Sasa utulie, mpaka nitakapoanzisha mada au uzi mwingine unaozungumzia asili ya neno Wayahudi na Uyahudi ni nini, ukishajua huko ndio uje huku kuendelea kushusha hoja au ubishi.
 
Nisome kuanzia kulia kwenda kushoto kama kiarabu ? Leo kazi ipo lakini hiki ni kiswahi!.
Usisome kinyume nyume au kutoka upande wa kulia kwenda kushoto.
Soma;
Mithali 1:8
[8]Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako,
Wala usiiache sheria ya mama yako,
My son, hear the instruction of thy father, and forsake not the law of thy mother:
 
Kichwa changu kimejaa maji tena ? Leo kazi ipo

Kwa hiyo Baba yako akikupa mafundisho ndio hayo mafundisho yanageuka Torati?

Kichwa chako kinamaji mengi.
Nakushauri uanze madarasa ya jioni ujinoe kukuza uwezo wa kuchanganua na kuchambua Mambo
 
Nitulie mpaka uanzishe uzi mwingine haaaaaah hii mbinu ya kivita
 
Kwa hiyo Baba yako akikupa mafundisho ndio hayo mafundisho yanageuka Torati?

Kichwa chako kinamaji mengi.
Nakushauri uanze madarasa ya jioni ujinoe kukuza uwezo wa kuchanganua na kuchambua Mambo
Kichwa changu kimejaa maji kwa sababu ya maswali tu.

Wewe mbantu mwenzagu tulia usijae upepo kisa mambo ya waisrael mpaka methali unaikana leo kazi ipo dini hizi haaaaah
 
Kichwa changu kimejaa maji kwa sababu ya maswali tu.

Wewe mbantu mwenzagu tulia usijae upepo kisa mambo ya waisrael mpaka methali unaikana leo kazi ipo dini hizi haaaaah

Mimi ni Mtibeli. Sihusiki na mambo ya waisraeli na wabantu. Sawa Mkuu.

Methali ni kitabu ambacho umekinukuu, lakini hakionyeshi kile alichotaka kuonyeshwa, ambacho ni kuwa Mafundisho ni Torati, au Torati ni mafundisho.

Mimi nimekuambia, Torati sio mafundisho ila unaweza ukapata mafundisho kwenye Torati. Wapi huelewi Sheikhe.

Ni sawa useme Chai sio maji ila unaweza kupata maji kwenye chai wapi huelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…