Namna ya kukabiliana na magaidi ni kutumia mbinu wanazotumia magaidi

Namna ya kukabiliana na magaidi ni kutumia mbinu wanazotumia magaidi

Nimeelewa nini?
Nimekuwekea hiyo aya ili utoe hoja yako.
Sitaki kuamini kwamba unaupeo mdogo.

Umeshindwa kunukuu biblia, nimekusaidia ili ujaribu kueleza kile unachotaka Watu wakuelewe kupita mjadala huu.
Nakuwekea tena;
Mithali 1:8
[8]Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako,
Wala usiiache sheria ya mama yako,
My son, hear the instruction of thy father, and forsake not the law of thy mother:

Ulikuwa unataka kusemaje?
Sasa kwenye hiyo aya ulioweka biblia haisemi mafundisho hapo ?
 
Sasa kwenye hiyo aya ulioweka biblia haisemi mafundisho hapo ?

Hii kichwa imejaa maji.
Wapi imesema, embu bold;
Mithali 1:8
[8]Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako,
Wala usiiache sheria ya mama yako,
My son, hear the instruction of thy father, and forsake not the law of thy mother:
 
Kuwa torati ni mafundisho kama aya inavyosema

Usisome kinyume nyume au kutoka upande wa kulia kwenda kushoto.
Soma;
Mithali 1:8
[8]Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako,
Wala usiiache sheria ya mama yako,
My son, hear the instruction of thy father, and forsake not the law of thy mother:
 
Kwema Wakuu!

Vita inayoendelea huko Israel Vs Palestina (Hamas) inadhihirisha kuwa namna bora ya kukabiliana na Magaidi ni kutumia mbinu zao wenyewe, yaani kuwafanyia ugaidi mara mbili.

Kwa mfano, Kitendo cha Hamas kuvamia Israel na kuua Raia wasio na hatia ni kitendo cha kigaidi. Na Waisraeli na hata taifa lolote lile lisingekuwa na njia nyingine ya kufanya zaidi ya kutumia ugaidi ili kutokomeza magaidi.
"Tumia ugaidi kutokomeza magaidi"

Gaidi akiua kigaidi Watu wako 10 basi wewe fanya hivyo mara kumi yake kwake kwa kutumia mbinu ileile.

Ambacho Hamas wangekifanya ambacho hata mimi ningekiunga mkono ni kutangaza vita na Waisrael, vita Rasmi, na kuwataka Raia wa Israel waondoke ili Hamas waweze kukabiliana na jeshi la Israel. Lakini sio kufanya ugaidi kisha kujificha kwenye makazi ya Watu.

Israel inaweza kuwa na matatizo Makubwa, ambayo Watu wengi hatuyaungi mkono lakini naweza kukubaliana na mbinu wanazotumia katika kudili na maadui zao.

Gaidi wakitandika Raia wako, wewe unaenda kutandika Raia na ndugu zao. Hiyo ni mbinu ambayo waisrael wanaijua na kuzitumia katika falsafa ya jino kwa jino, jicho kwa jicho, uhai kwa uhai. Kama Legend wao aitwaye Musa alivyowaagiza katika Torati;

Kumbukumbu 19:21 NMM​

Msionyeshe huruma, uhai kwa uhai, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.

Kutoka 21:
24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu,
25kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo.
Ndicho wanachokifanya Wapalestina, wanapambana na magaidi kigaidi.
 
Kichwa changu kimejaa maji tena ? Leo kazi ipo
Hii kichwa imejaa maji.
Wapi imesema, embu bold;
Mithali 1:8
[8]Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako,
Wala usiiache sheria ya mama yako,
My son, hear the instruction of thy father, and forsake not the law of thy mother:
 
Mimi kwa upeo wangu sifahamu wewe unae fahamu nielekeze ?

Ni vizuri umesema kweli kuwa haufahamu ili ufahamishwe. Na sio kuleta ujuaji kwa mambo usiyoyajua na kubisha bisha.

Sasa utulie, mpaka nitakapoanzisha mada au uzi mwingine unaozungumzia asili ya neno Wayahudi na Uyahudi ni nini, ukishajua huko ndio uje huku kuendelea kushusha hoja au ubishi.
 
Nisome kuanzia kulia kwenda kushoto kama kiarabu ? Leo kazi ipo lakini hiki ni kiswahi!.
Usisome kinyume nyume au kutoka upande wa kulia kwenda kushoto.
Soma;
Mithali 1:8
[8]Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako,
Wala usiiache sheria ya mama yako,
My son, hear the instruction of thy father, and forsake not the law of thy mother:
 
Kichwa changu kimejaa maji tena ? Leo kazi ipo

Kwa hiyo Baba yako akikupa mafundisho ndio hayo mafundisho yanageuka Torati?

Kichwa chako kinamaji mengi.
Nakushauri uanze madarasa ya jioni ujinoe kukuza uwezo wa kuchanganua na kuchambua Mambo
 
Ni vizuri umesema kweli kuwa haufahamu ili ufahamishwe. Na sio kuleta ujuaji kwa mambo usiyoyajua na kubisha bisha.

Sasa utulie, mpaka nitakapoanzisha mada au uzi mwingine unaozungumzia asili ya neno Wayahudi na Uyahudi ni nini, ukishajua huko ndio uje huku kuendelea kushusha hoja au ubishi.
Nitulie mpaka uanzishe uzi mwingine haaaaaah hii mbinu ya kivita
 
Kwa hiyo Baba yako akikupa mafundisho ndio hayo mafundisho yanageuka Torati?

Kichwa chako kinamaji mengi.
Nakushauri uanze madarasa ya jioni ujinoe kukuza uwezo wa kuchanganua na kuchambua Mambo
Kichwa changu kimejaa maji kwa sababu ya maswali tu.

Wewe mbantu mwenzagu tulia usijae upepo kisa mambo ya waisrael mpaka methali unaikana leo kazi ipo dini hizi haaaaah
 
Kichwa changu kimejaa maji kwa sababu ya maswali tu.

Wewe mbantu mwenzagu tulia usijae upepo kisa mambo ya waisrael mpaka methali unaikana leo kazi ipo dini hizi haaaaah

Mimi ni Mtibeli. Sihusiki na mambo ya waisraeli na wabantu. Sawa Mkuu.

Methali ni kitabu ambacho umekinukuu, lakini hakionyeshi kile alichotaka kuonyeshwa, ambacho ni kuwa Mafundisho ni Torati, au Torati ni mafundisho.

Mimi nimekuambia, Torati sio mafundisho ila unaweza ukapata mafundisho kwenye Torati. Wapi huelewi Sheikhe.

Ni sawa useme Chai sio maji ila unaweza kupata maji kwenye chai wapi huelewi
 
Back
Top Bottom