Namna ya kutazama Whatsapp status bila kuonekana

Namna ya kutazama Whatsapp status bila kuonekana

Kuna mfanyabiashara mmoja nilikuwa natazama bidhaa zake Kwa watsap status ...mara akani block...aliamua Ku block wote ambao hatujawahi nunua hizo bidhaa...
Nimewahi sikia inawezekana kutazama Watsap status bila kuonekana....na Vile vile inawezekana nikaendelea kutazama status hata kama kani block.....any help?...
To yeye cocastic Nakadori Bantu Lady
Any help here?
 
Yan wewe unanyimia watu kuona last seen why?
Na unawaachia waone profile?

Me last seen
Profile
About
Only my contacts.

Sasa mtu sijakusave uone profile langu la nini? Hao nawanyima access
Mimi last seen, ndio utawala. Naacha aone yeyote.
Na add group no one. Mengine contacts
 
Kuna mfanyabiashara mmoja nilikuwa natazama bidhaa zake Kwa watsap status ...mara akani block...aliamua Ku block wote ambao hatujawahi nunua hizo bidhaa...

Nimewahi sikia inawezekana kutazama Watsap status bila kuonekana....na Vile vile inawezekana nikaendelea kutazama status hata kama kani block.....any help?...
Vipi wewe ukificha status view yako na ukaenda kwenye status ya mwingine je yeye atakuona wewe kuwa umeview status yake ebu jaribu hio
 
Fanya hivi, kama ni muhimu sana. Maana kuja mpaka huku si mchezo.
Sajili namba ingine au tumia nyingine kama unayo, sajili wasap tumia unofficial then mtext anonymously ukitaka ushirika nae. Akusave uendelee kuenjoy.
Kama umeblockiwa hakuna option tofauti na hio.
 
Back
Top Bottom