Namna ya kuwa tajiri mwaka huu, hii biashara inalipa ni kiboko huhitaji kafara!

Mkuu yaani ninusurike kushambuliwa na koboko halafu nikishapata ngozi yake waje wazee wa PGO waseme ni nyara ya Jamuhuri waitaifishe halafu tuanze mchakato wa mashitaka....hapana aisee
😂 acha uwoga Cannabis inabidi uwe na roho ya escobar
 
Kuna mwenye courage ya kumsogelea koboko kweli? Mtoa mada una mpango wa kuwaua job seekers na wachangamkia fursa.
Huko lumbe, kaliua Tabora watu wanafuga koboko kama paka au mbwa!
 

Nungunungu haitaji?
 
Weka wazi soko liko wapi kuishia kusema tuu kuna mtailand haitoshi bila details kufahamika tutamuuzia nani sasa.

Hao nyoka wapo wengi tuu na vibali vinapatikana ukiweka mambo wazi tutafatilia.
 
Mambo ya kutoa habari nusu ni bora usingeleta tangazo kabisa sasa soko liko wapi ? Nikiwakamata nawauzia wapi ?



Nishachoka kupoteza hela ya stationary ,posta na kwa afisa mtendaji KU apply kazi ambazo mtu huzipati


Wakati mapori yapo na yana fursa kama hzo
 
Dalili za kutafuta wakina sabaya wapya hiyo tena ni msimu wa kilimo kazi kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…