Namna ya kuwa tajiri mwaka huu, hii biashara inalipa ni kiboko huhitaji kafara!

Namna ya kuwa tajiri mwaka huu, hii biashara inalipa ni kiboko huhitaji kafara!

Mkuu yaani ninusurike kushambuliwa na koboko halafu nikishapata ngozi yake waje wazee wa PGO waseme ni nyara ya Jamuhuri waitaifishe halafu tuanze mchakato wa mashitaka....hapana aisee
šŸ˜‚ acha uwoga Cannabis inabidi uwe na roho ya escobar
 
Huko lumbe, kaliua Tabora watu wanafuga koboko kama paka au mbwa!
255767836828_status_6a734fb65fa9481caa5190c5a08d8290.jpg
 
Zinahitajika ngozi za nyoka wafuatao;
1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi
2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi
3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155''
shs 400,000/= kwa ngozi
4- koboko 255'' to 400'' shs 600,000/= kwa ngozi
5-moma 100'' to 200'' shs 300,000/= kwa ngozi
* Mjulishe rafiki naye amjulishe rafiki watanzania tuchangamkie fursa hiyo? NB msiache kufatilia vibali View attachment 2072627

Nungunungu haitaji?
 
Weka wazi soko liko wapi kuishia kusema tuu kuna mtailand haitoshi bila details kufahamika tutamuuzia nani sasa.

Hao nyoka wapo wengi tuu na vibali vinapatikana ukiweka mambo wazi tutafatilia.
 
Mambo ya kutoa habari nusu ni bora usingeleta tangazo kabisa sasa soko liko wapi ? Nikiwakamata nawauzia wapi ?



Nishachoka kupoteza hela ya stationary ,posta na kwa afisa mtendaji KU apply kazi ambazo mtu huzipati


Wakati mapori yapo na yana fursa kama hzo
 
Dalili za kutafuta wakina sabaya wapya hiyo tena ni msimu wa kilimo kazi kazi
 
Back
Top Bottom