Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

Mashekhe ubwabwa wa JF wamehorojoka muda mrefu humu JF kuwa Israel hawezi rusha hata jiwe Iran leo wana kazi ya kuhamisha magoli kukataa waizrael walichofanya aisee kuukataa ukweli hakujawahi na haitotokea kushinde huwa ni suala la muda tu....
Dunia imezoea Israel anaposhambuliwa na vikundi vidogo vidogo huwa analipa kisasi mara kumi yake na madhara makubwa.

Sasa safari hii kashambuliwa na Iran na mamia ya drones na missiles na yalileta madhara kwenye kambi kuu mbili za kijeshi za Israel.

Yeye Israel karusha vidrones vitatu na vyote vimedunguliwa angani na defence system ya Iran hivyo hakuna madhara yoyote.

Ndo watu na wataalamu wa vita wanahoji je, ni uoga wa Israel dhidi ya Iran ndiyo maana kajibu kinyonge hivyo ili angalau tu kuficha aibu?
 
Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati kama vile jeshi lililoko vitani serious na sio kama michezo ya kidali poo anayojaribu kufanya Iran
wachambuzi na wataalamu wa masuala ya kijeshi wanasema hivi:

Israel's strike on Iran: Crisis shows how badly Iran and Israel understand each other​



Israel's attack on Iran was not the fierce response that US President Joe Biden and other western leaders had feared.


They have been urging Israel to draw a line under the dangerous series of events that started with Israel's assassination of a senior Iranian general in Damascus on 1 April.




Nb: Tuache ujuwaji wa kishamba!


Nb: Tupunguze mahaba na tukubali uhalisia wa mambo!
 
Hata mleta mada kaandika huku nafsi yake ikiwa inamsuta ndani kwa ndani. Ila ndo hivyo kaona bora na yeye ajitutumue kuandikia taifa pendwa.
 
sawa na wairan wanafanya mazoezi makali mnoo kama unavyomuona huyo lazima mazayuni wafutike duniani
 
Reactions: 511
Wewe huwezi fanya hayo mazoezi hata siku moja jaribu uone.

Sa kama Israel kapiga Iran siwangefanya press conference kuonyesha walicho piga Iran ๐Ÿ˜„
we unayaweza haya mazoezi?
 

View: https://twitter.com/uzmabatoolnaqvi/status/1781252713172312178?t=2svha0-2DXI6hUnAkqAiBA&s=19
 
sawa na wairan wanafanya mazoezi makali mnoo kama unavyomuona huyoView attachment 2968271 lazima mazayuni wafutike duniani
Mwanajeshi wa jeshi bora duniani akidhibitiwa na kijana ambae hana kifaru, ndege ya kijeshi wala meli ya ya kivita.

Msaada wote wanaopewa na mabwana zao Marekani na Uingereza unashindwa kuwasaidia kupambana na vijana wasiokuwa na silaha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Attachments

  • IMG_20240107_140414.jpg
    57.1 KB · Views: 3
Kufuga chatu nyumbani kwako ni sawa na kuishi na kifo muda wowote...wenye scope
 
ulikuwepo au unasoma quran
 
Reactions: 511
Acheni kujifariji hakuna shambulizi lolote lililo fanyika ndani ya Iran zaidi ya vidrone vilivyo tunguliwa mjini Isfahan.
Vyombo vya habari vya Iran vimesema vimeona milipuko mikubwa kwenye kambi za jeshi .Live.Lakini serikali ya Iran inasema hiyo milipuko ni kweli ilikuwepo ila ilikuwa milipuko ya mitambo ya Iran ya kurusha makombora ya kulipua hivyo vidrones vya Israel ha ha ha ha ๐Ÿ˜‚

Vidrones vinajibiwa kwa milipuko mikubwa ardhini kwenye ardhi ya vituo vya jeshi la Iran๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ

Message sent
 
Syria Tenaa????
Syria jngeisaidiaje Israel waketi yenyewe ndio inapigwa kila siku??
 
Ungekaa kimya unatumia nguvu nyingi wakati Iran alishamaliza kazi yake siku nyingi nyie sindiyo mlikuwa mnaena Iran warushe hata jiwe Israel waone๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ