ππ lol.Nina list ya wanaojifanya madem kuja pm kuniomba vocha. Siku nikiamka vibaya ninao
Kwakweli da mau naye Ana haki ya kupendwaHuu ndio Uungwana Sasa...Nikiwa kama dada mkubwa wa familia Hilo penzi lako nalihamishia rasmi Kwa Unique Flower last born wetu wa kike
Akija hapa nijiandae Kwa lolote!Kwakweli da mau naye Ana haki ya kupendwa
πππ Nilijua utafika hata kwa kuchelewa dada akeKAOLEWA na Countrywide ,kihalali....tafuta mwingine
Amenitibua kweli, yani mi nimuombe vocha Okwi πππAMEKUKOSEA SANA.
Boss wangu wamemkosea sana Kwa kweliπ€¦π€¦π€¦wamtake radhiAmenitibua kweli, yani mi nimuombe vocha Okwi πππ
Wakati boss wako ananitumia miamala mpk namwambia basi beibeyy inatosha zingine utatuma keshoβ¦
NILISTUKA HADI TUMBO LILINIKATA...π€£π€£π€£πππ Nilijua utafika hata kwa kuchelewa dada ake
Halafu alivyojiakausha jana tunaongea hata kuniambia kuna uzi huku unanihusu πππBoss wangu wamemkosea sana Kwa kweliπ€¦π€¦π€¦wamtake radhi
ππππ JF hata km hutaki kucheka utachekeshwa kilazima, hapo atakaa baada ya week anakuja na uzi wa kumpenda Joannah ndo utajua hujuiβ¦ π€£π€£π€£NILISTUKA HADI TUMBO LILINIKATA...π€£π€£π€£
Hapo nakupigia kampeni mwenyewe umchukue da Mau πππUnique Flower yuko vizuri pia
Mimi hawezi kunipenda...nimeshampa dada Mau apambane naeππππ JF hata km hutaki kucheka utachekeshwa kilazima, hapo atakaa baada ya week anakuja na uzi wa kumpenda Joannah ndo utajua hujuiβ¦ π€£π€£π€£
Hapo sawa, muache huyu mwamba nampenda sana π₯°π₯°π₯°Sawa ngoja nimuache mke wa bwana Countrywide
ππππ Hapo umecheza km PeleMimi hawezi kunipenda...nimeshampa dada Mau apambane nae
Mwambie huyo πππHawaachani ng'oooooh
πππ Anakutibuaπ€£π€£π€£π€£π€£We nae,acha kujizima data
ππππ Wanataka nizae mtoto njiti hawaWanataka kukuingiza labour siku si zako wakutueπ€£π€£π€£
ππππ Jirani kweli umenichoka kiasi hiki??Ushindwe wewe jina hilo apo kiungo cha mpira, Mungu akupe nini tena jirani, mzigo unafunga tena mkubwa na mwingine unao ule aliekupa mama. Chama huyo apo unataka nini jirani yangu. π
Aah wapi mtoto wa boss wangu anatakiwa kuzaliwa na afya njemaππππ Wanataka nizae mtoto njiti hawa