Nampataje huyu mtoto anaitwa Lamomy?

Nampataje huyu mtoto anaitwa Lamomy?

Status
Not open for further replies.
Boss wangu wamemkosea sana Kwa kweli๐Ÿคฆ๐Ÿคฆ๐Ÿคฆwamtake radhi
Halafu alivyojiakausha jana tunaongea hata kuniambia kuna uzi huku unanihusu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nilikuwa kuna vitu nanunua mpk nimemaliza saa 1 ndio ananiambia nenda JF kuna mtu anataka kukutolea ngโ€™ombe 100 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nimemuuliza kwann hujaniambia mchana wakati tunaongea, akasema ninavyokujua ungeacha unachofanya uende ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ila jamani kwa tulikofikia na wizzy hebu waanzisha hivi vichekesho wanipumzishe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom