Nampenda ‘Seran’ ila nahisi kashachukuliwa na mwana JF fulani hivi?

Status
Not open for further replies.
Hizo nongwa mzee! Jamii forum mdada akiwa active kil mada mara kashapendwa. Mlianzaga mambo hayo kwa ephen_ mkaja kwa bebi mama langu Lamomy . Sahiv mmehamia kwa mdada wa watu? Huko mitaani unakoishi madem wa kuwapenda hakuna?
Halafu wanaume wenzao wanaowapenda wawe makini.. 😹😹😹

Uwe unaenda church asubuhi yote hii upo JF lione..!!
 
Siku hizi swaga tunazipatia chatgpt 😂
 
Wale wa mambo, kwa yesu🤣

Nikikumbuka nilivyokuwa nawajibu vijana vibaya najuta mimi! Mtu anakwambia dada mambo! Unamjibu kuhusu?

Sema uzuri zamani mtu anakufukuzia hata miaka mitano! Siku hizi siku mbili nyingi u end uo dying single lol😁
 
Mtu anakufukuzia hadi anakuwa kero!! Ulikuwa utoto, sasa wamekua.
 
Siku hizi swaga tunazipatia chatgpt 😂

Maisha yamekuwa rahisi sana unaingia online tu unacopy mistari na kupaste,

Kutongoza ni sanaa ujue tulikuwa tunaimbisha ile mbaya ukifika sekondarini unaweza kutunga essay kwa mbwembwe zote yani, na kuna zile time mnaandikiana barua, na kupiga pafyumu ya Yolanda au Yu 😛

Na demu uliyetoil kumpata unamtunza ile mbaya, kuna jamaa aliua mwenzake Tabora miaka flani kwa ajili ya demu wote walikua o'level demu high school
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…