Nampongeza Hayati Membe kwa kutojilimbizia mali wala kuwaingiza watoto wake kwenye siasa

Tupia kapicha ka hiyo nyumba unayosema ya kawaida!
 
Amepiga Piga kdg na yeye ....si haba ! Ana suply mafuta Halotel nzima kampuni kaka yake .....plus few hotels kwao Mtwara huko
Membe ana mali kibaoo. Wala asidanganye hapa.
 
Haamki kashanuka huyo mjomba akizinduka tu atasindikizwa na rungu la bwana portuary ili alale kwa amani, Acha furaha ziendeleeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🤣🤣🤣 kuna ukweli hapa!
 
Huyu ni mtoto wa Msuya,?? Mbona majina tofauti?
Cleopa David Msuya, halafu mtoto aitwe Mathayo David Mathayo?? How?
Huyo ni mtoto wa nje ya ndoa wa Cleopa David Msuya.
Aliamua kujiita Mathayo David Mathayo ili kuficha Identity ya baba yake.
Kuna some bad blood zingem cost na hatimaye kutopata ubunge kama angetumia jina la baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…