Nampongeza Hayati Membe kwa kutojilimbizia mali wala kuwaingiza watoto wake kwenye siasa

Nampongeza Hayati Membe kwa kutojilimbizia mali wala kuwaingiza watoto wake kwenye siasa

Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.

Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na kuwafanya wanawe wasiwe maarufu nchini.

Nimtakie pumziko la milele
Tupia kapicha ka hiyo nyumba unayosema ya kawaida!
 
Haamki kashanuka huyo mjomba akizinduka tu atasindikizwa na rungu la bwana portuary ili alale kwa amani, Acha furaha ziendeleeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
VIONGOZI AMBAO WANATOKA DINI YA WAZUNGU HAWANA TABIA HIZO SANA.

HIZO NI TABIA ZA VIONGOZI WANAOTOKA DINI YA WAARABU.. MAANA HATA NCHI ZA WAARABU MADARAKA NA UONGOZI HUWA UNATOKA FAMILIA ZILE ZILE.
SAUDI ARABIA, QATAR, OMAN, UAE, ZOTE HIZO ZINATAWALIWA NA UKOO MMOJA TU MILELE

TAZAMA WATOTO WA NYERERE, MKAPA, MAGUFULI KISHA LINGANISHA NA WATOTO WA MARAIS AMBAO SIJATAJA WA DINI YA WAARABU
🤣🤣🤣 kuna ukweli hapa!
 
Huyu ni mtoto wa Msuya,?? Mbona majina tofauti?
Cleopa David Msuya, halafu mtoto aitwe Mathayo David Mathayo?? How?
Huyo ni mtoto wa nje ya ndoa wa Cleopa David Msuya.
Aliamua kujiita Mathayo David Mathayo ili kuficha Identity ya baba yake.
Kuna some bad blood zingem cost na hatimaye kutopata ubunge kama angetumia jina la baba yake
 
Back
Top Bottom