Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Na bado!Tupatie Uzi
Nimebaki na Mb 10 ntazitumia kusoma Uzi wako Juu ya kulikomboa Taifa Mama Tanzania dhidi ya chuki za S.Gang
Wema hawafi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado!Tupatie Uzi
Nimebaki na Mb 10 ntazitumia kusoma Uzi wako Juu ya kulikomboa Taifa Mama Tanzania dhidi ya chuki za S.Gang
Tupia kapicha ka hiyo nyumba unayosema ya kawaida!Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.
Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na kuwafanya wanawe wasiwe maarufu nchini.
Nimtakie pumziko la milele
Membe ana mali kibaoo. Wala asidanganye hapa.Amepiga Piga kdg na yeye ....si haba ! Ana suply mafuta Halotel nzima kampuni kaka yake .....plus few hotels kwao Mtwara huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haamki kashanuka huyo mjomba akizinduka tu atasindikizwa na rungu la bwana portuary ili alale kwa amani, Acha furaha ziendeleeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Sio kweli. Kule mtwara ana bonge la hotel
🤣🤣🤣 kuna ukweli hapa!VIONGOZI AMBAO WANATOKA DINI YA WAZUNGU HAWANA TABIA HIZO SANA.
HIZO NI TABIA ZA VIONGOZI WANAOTOKA DINI YA WAARABU.. MAANA HATA NCHI ZA WAARABU MADARAKA NA UONGOZI HUWA UNATOKA FAMILIA ZILE ZILE.
SAUDI ARABIA, QATAR, OMAN, UAE, ZOTE HIZO ZINATAWALIWA NA UKOO MMOJA TU MILELE
TAZAMA WATOTO WA NYERERE, MKAPA, MAGUFULI KISHA LINGANISHA NA WATOTO WA MARAIS AMBAO SIJATAJA WA DINI YA WAARABU
Njia yetu ni moja heri yake katangulia.kwenye kifo hakuna kuchekana wote uelekeo wetu ni mmoja. Haya maisha ya duniani ni ya muda mfupi sana kwahiyo tusijione bora kuliko wengine.ukilitambua hilo utaishi kwa hekima sana.Na bado kafa!, kudadeki, Mungu engineer
Tafsiri zako za picha.
Hotel ya membe hapa mtwara inaitwaje?Hawapo Katika lakin lazima wapo somewhere wanalamba Asali kubwa like TANZANIA Bank nk in short Mtwara Jamaa kajenga hotel za viwango vikubwa
Membe hana hotel mtwaraHasa ile ya baharini ni kiboko.
Ni ya marehemu ShebbyMie pia nimefika kwake Rondo - Chiponda ni maisha ya kwaida.
Naomba kufahamu kuhusu NAF BEACH HOTEL iliyopo Mtwara pembezoni mwa Bahari ni ya nani?
Huyu ni mtoto wa Msuya,?? Mbona majina tofauti?Unamfahamu Mathayo David Mathayo?
Cleopa David Msuya, halafu mtoto aitwe Mathayo David Mathayo?? How?Hata mimi nilimshangaa sana alipomtaja C. D. Msuya.
Inaonekana hamjui Mathayo, labda kwa vile hatumii hiyo common surname.
Huyu ni mtoto wa Msuya,?? Mbona majina tofauti?
Huyo ni mtoto wa nje ya ndoa wa Cleopa David Msuya.Cleopa David Msuya, halafu mtoto aitwe Mathayo David Mathayo?? How?
Hamfahamu huyo, yule kala kimya kimya uwaziri akiwa kijana kabisa huko bungeniUnamfahamu Mathayo David Mathayo?
Mwamba alikuwa Mwizi CCM wote wanaiba sana .Jamaa hawawezi msahau MWAMBA. Kweli aliwanyoosha kisawasawa. Na wana bahati. Angeendelea ingekuwa gharika!
Waliiba mpaka wakatapika bado hawakutosheka!
Uroho gani huo?!