Nampongeza Hayati Membe kwa kutojilimbizia mali wala kuwaingiza watoto wake kwenye siasa

Nampongeza Hayati Membe kwa kutojilimbizia mali wala kuwaingiza watoto wake kwenye siasa

Sukuma gang chini ya jiwe wataleta nongwa hapo wao wamebambikia watu kesi za urongo na kulipisha fedha haramu wakazificha China.
Au nasema uongo jamani?
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Hawataki aguswe mungu wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.

Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na kuwafanya wanawe wasiwe maarufu nchini.

Nimtakie pumziko la milele
Ndio watu kusini walivyo
 
VIONGOZI AMBAO WANATOKA DINI YA WAZUNGU HAWANA TABIA HIZO SANA.

HIZO NI TABIA ZA VIONGOZI WANAOTOKA DINI YA WAARABU.. MAANA HATA NCHI ZA WAARABU MADARAKA NA UONGOZI HUWA UNATOKA FAMILIA ZILE ZILE.
SAUDI ARABIA, QATAR, OMAN, UAE, ZOTE HIZO ZINATAWALIWA NA UKOO MMOJA TU MILELE

TAZAMA WATOTO WA NYERERE, MKAPA, MAGUFULI KISHA LINGANISHA NA WATOTO WA MARAIS AMBAO SIJATAJA WA DINI YA WAARABU
Mimi ni mkristo,tena muadventista msabato.Ila waislamu wa Tanzania ni wa tofauti sana.Tena hasa wale wanaotokea maeneo ya pwani.Ni watu poa sana,wenye utu.Sio makatili hao jamaa.Mtoto yeyote wa Raisi hawezi kuishi maisha kama yako,hilo ulielewe.Unajua Raisi ANALIPWA shilingi ngapi Kwa mwezi?Kila Raisi amewajengea mfumo mzuri wa maisha watoto wake,hata hao kina Nyerere na magu pia.Ila sio wote wamewekezwa kwenye siasa.Unawafahamu watoto wote wa magufuli,Nyerere kikwete,mwingi au samia?Doctor akitumia mshahara wake kuwainua kiuchumi watoto wake hapo sawa,Raisi au waziri akifanya hivyo ni fisadi, sio fair.
 
Membe ana hoteli pale Kicheere, kwa mshahara wa mtumishi wa serikali unaweza kujenga hoteli Kama Ile? Hata Kama kapata kiinua mgongo Cha ubunge x5 bado.
 
Back
Top Bottom