m2mixh
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 614
- 391
Hawataki aguswe mungu wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sukuma gang chini ya jiwe wataleta nongwa hapo wao wamebambikia watu kesi za urongo na kulipisha fedha haramu wakazificha China.
Au nasema uongo jamani?
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.