Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Aaah mi nimemshusha creidit kwa kupaniki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] tumefokewa balaa ila bado namkubali kimwana wa museven
Buhaaaaaaahaaaa[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28] mange chiziHahaha na sura yake kama michael jackson hebu alee yale matoto yake ya kiume mange alisema kama majambazi [emoji119]
Mwakitombile kaangukia kwa posh mitako feki[emoji28][emoji1787][emoji1787]Hahaha mke my foot
Aaah mi nimemshusha creidit kwa kupaniki
Yaan anapoteza mda na watu wa insta Wana stress kama zote, tatizo anatujumlisha wote khaaa!
Kanikera asee
Hahaha eti ntakonda[emoji1787][emoji28][emoji28][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] utakonda my dear,mtanzania halisi bila matusi haridhikii. Leo siku ya tatu tangu atoe tamko watu ndo wanazinduka na kulalamika. Wakati mange na timu pugi wanatukana akina tiffa na kaka zake hakuna aliyelalamika.
Kakosea vingi sana huyu mama..
Dharau nyingi sana
Anadharau sana watanzania kiasi kwamba eti so called "Tiffah ndo atatutoa kimaso maso[emoji134][emoji849]
Hapo chacha..Anadharau wa Tanzania as if huko kwao Uganda ni First world Country.[emoji849]
Nimekupata vizuri hata me nimeona hakuna sehemu ambayo mtoto wake katukanwa hapa zari kateleza nazani Ni yeye binafsi ndo kaguswa.Kwa Hili ajafanya fair kabisa kumuingiza mtoto kwenye mambo ya mtandaoni sio vizuri kabisa.nimeona hiyo comment na Anifalahmad yupo sawa tu kutoa maoni yake maana ni katukana Tz nzima badala ya kuwasema hao wanainsta wenzake
Unajua ukiwa public figure kubali kukosolewa na pia sijaona alipotukanwa mwanae ndio nashangaa mim mapovu hayo vepee ,bila Tz kumjazia followers angekuwa wapi hebu atuliage huko huko
Diamond kazalisha kila mtu asijione special
@Min92 nakuunga mkono kabisa hapa Zari katelezaHuyo Zari nae ana dharau sana, ilihusu nini kujigamba yy anaenda ofisini na kuwachamba wauza nyanya na Vitunguuu kwani hizo sio Biashara pia? Watanzania wengi wa Insta wanaboa sana wamejaa chuki, choyo, Husda, ila nae Zari anadharau mno.
Ukiwa maskini utasemwa Sana ukiwa tajiri watakuchukia sijui Watanzania wanataka uweje kwako Mshanajr inasemaje kwenye hili
Weakness kubwa ya Zari Ni hiyo uliyosemaKakosea vingi sana huyu mama..
Dharau nyingi sana
Anadharau sana watanzania kiasi kwamba eti so called "Tiffah ndo atatutoa kimaso maso[emoji134][emoji849]
@Min92 Wabongo tuna midomo michafu sipati picha yule mwanamitindo wa Korea aliyejiua kwa kusemwa Sana huko Korea kusini Je angekuwa hapa bongo atasiku mbili zisingefika angejiua.Wabongo midomo Yao inalaana.Mi wabongo wananiachaga hoi ukiwa maarufu watakuchafua mtandaoni ww na Ukoo wako. Inaskitisha kwakweli, wana roho za kichawi wanaweza hata kusababisha mtu akajiuwa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha na sura yake kama michael jackson hebu alee yale matoto yake ya kiume mange alisema kama majambazi [emoji119]
Ni kweli, mimi sishabikii team yyte lakin Zari ana dharau mno na sio kwa Watanzania tu, ndio mana kwao UG wanamchukia.. Kama uliwahi kuona video flani ilitrend Instagram nadhani mwaka juzi au jana, Zari alikua mmoja wa Host kwenye Event flani UG, yule host mwenzie alimwomba Zari atangaze mshindi na Zari akamjibu kwa dharau "Hio sio kazi yangu mimi kusoma makaratasi bali ww" akamtupia ile karatasi kwa dharau huku akiroll macho yake, watu wengi walichukia kitendo chake."Watanzania"
Zari ajirekebishe kujumuisha watanzania wote, kwasababu wanaomsema na kujibizana mtandaoni sio wawakilishi wa watanzania isipokuwa nafsi zao binafsi.
Na, anapowasema watoto wa watanzania kwa kuwafananisha na wa kwake, nadhani hayuko sahihi.
Naamini, kama watoto wake walisemwa vibaya pasipo wao (watoto) kuyasikia maneno hayo yenye ubaya, si busara kwake kuja kuwasema watoto wa watanzania wote...azingatie kuwa mashabiki wake wengi na wateja wa bidhaa anazotangaza hasa dippers za watoto walengwa ni watanzania na watoto wa Tanzania.
Ashauriwe, awe na "vituo" vya maneno na kifua cha kuyamudu maudhi ya mtandaoni. Kabla ya kujitokeza, atazame "jina" na umaarufu wake...kwa sababu hasara ya maneno yake anaweza asiione moja kwa moja, au kwa haraka.
@Min92 Wabongo tuna midomo michafu sipati picha yule mwanamitindo wa Korea aliyejiua kwa kusemwa Sana huko Korea kusini Je angekuwa hapa bongo atasiku mbili zisingefika angejiua.Wabongo midomo Yao inalaana.
Walewale, amekuomba msaada? Acha kuwashwa na mtu ambaye hata hakujui. Mnamchokoza, kawajibu mnakuja kulialia hapa. Kuleni jeuri yenu.Hahaha na sura yake kama michael jackson hebu alee yale matoto yake ya kiume mange alisema kama majambazi [emoji119]
Walewale, amekuomba msaada? Acha kuwashwa na mtu ambaye hata hakujui. Mnamchokoza, kawajibu mnakuja kulialia hapa. Kuleni jeuri yenu.
Hapana watu kama wewe mmezidi, umbea umbea tu dhidi ya mtu ambaye hana hata habari nanyi. Kama si ukisebengo nini.we nae pita hivii
Imekuuma kanye boga