Namshangaa huyu mwanamke wangu

Namshangaa huyu mwanamke wangu

Ndo hizi za kivita?
IMG_20230110_192239.jpg
 
Nilishamwambia yeye ni Queen of mizangamuo ivo ntamtumia kwenye sekta hiyo anasema sawa lakini akaniambia anatamani angekua mke kabisa
Apo tayari ushafanya maamuzi mkuu sioni jingne la kukushauri.
 
Kataa Huduma zake ili mambo yasiwe Mengi
Mtu anaforce kuja gheto na mwambia usije sina hela ye anasema anazo anakuja anajipikilisha hata kama sitokuwepo ye hajali unakuata kesha leta na vitu
 
Back
Top Bottom