Aisee, mtoto mdogo hivi inakuaje unatusumbua na hoja nzito nzito humu?!!!!
Back to the topic, mi mfuasi mzuri wa hadithi zilizopangika, nitavitafuta hivyo nikiamini nitairejesha ile ladha niliyoikosa ya kipindi kirefu ya mwandishi kama M.M. Bawji (kama sikosei) na ile kitu yake, 'Kubali Tuyamalize', 'Zubaa Uzikwe' n.k
Ieo walau umeandika kidogo. Huwa unaandika manenoelfu10 habari ya
Hongera mkuu ππΎππΎππΎππΎ
I hope utaandika kitabu kuhusu mwanaume wa karne ya 21, naamini unaweza kutetea masculinity katika dunia inayozidi kuwa feminine. Ni moja ya hot topics ambazo natamani nizisome kwa perspective ya Africa..
All the best
πMimi sio mtoto Mdogo Mkuuππ
Nimedumaa tuuππ.
Karibu Sana Mkuu.
Ieo walau umeandika kidogo. Huwa unaandika manenoelfu10 habari ya
maneno 3000.
Shabani Robert alikubali kukosolewa hata J.K.N wote wakawa waandishi wakubwa.
Ukitaka kuwa mkubwa jikosoe na kosolewa.
Hongera kwa kazi ya uandishi inataka moyo hasa katika jamii isiopenda kusoma.
Zamani waandishi walitajirika siku huzi sijui maana sisomi sana hadithi bali vitabu vya profession yangu. Katika hadithi /shairi niliosoma zamani ni ushauri wa mwendawazimu na S.S. Bawji, ukiandika kama Bawji nitaanza kusoma hadithi zako.
Pambania ndoto yako iwe kweli.
Shigongo ni mbunge kwa sababu ya uandishi.
Kujua kipaji chako ktk umri mdogo na kukifanyia kazi ni bahati sana kwa nchi zetu, wengi wetu vipaji vimelala na kufa wewe ni mtu mwenye bahati sana.Utafika mbali
Mkuu mimi si muandishi wa vitabu ila kupitia masimulizi yangu naanda pdf watu wawe wanasoma angalau kwa malipofanya na wewe master halafu utuletee kama jamaa.
Una uandishi mzuri sana na content nzuri pia.
Sawa mkuuSina uhakika Mkuu.
Simfahamu huyo mtu
Mkuu mimi si muandishi wa vitabu ila kupitia masimulizi yangu naanda pdf watu wawe wanasoma angalau kwa malipo
Sawa mkuu
Hongera mkuu ππΎππΎππΎππΎ
I hope utaandika kitabu kuhusu mwanaume wa karne ya 21, naamini unaweza kutetea masculinity katika dunia inayozidi kuwa feminine. Ni moja ya hot topics ambazo natamani nizisome kwa perspective ya Africa..
All the best
Mkuu mimi si muandishi wa vitabu ila kupitia masimulizi yangu naanda pdf watu wawe wanasoma angalau kwa malipo
Natamani title iwe: 'The World in Tears' maana men wanazidi kuadimika na ndio angamizo la Dunia.
Men sasa wanapiga kampeni ya kukimbia ndoa aiseee Dunia now sio salama
CC: Robert Heriel
Hakikata ππΎShukrani Sana Mkuu.
Ni kweli nitaandika, sio kuwatetea wanaume, Bali kuwapa Ile Haki Yao.
Pia sio kuwakandamiza Wanawake, Bali kuwapa Ile iliyohaki Yao.
Katika Falsafa na mitazamo ya Kiafrika
Usisahau pia watanzania wengi hawasomi zaidi ya kupenda short clips za videos.. Unaweza kuangalia hili soko pia haswa tiktokShukrani Sana Mkuu.
Ni kweli nitaandika, sio kuwatetea wanaume, Bali kuwapa Ile Haki Yao.
Pia sio kuwakandamiza Wanawake, Bali kuwapa Ile iliyohaki Yao.
Katika Falsafa na mitazamo ya Kiafrika
πππ
Hiyo ni biashara za Watu Mkuu.
Kuandika tutaandika lakini hakuna atakayekubali kitumbua chake kiingie mchanga
Samahani, sijakuelewa vema maana kila kitu ni biashara ya watu. In truth speaking biashara zote zinafanyika ndani ya biashara zingine.
I can say japo wengi hawatanielewa 'Tanzania' yenyewe ni biashara ya watu; I mean hapo ulipo / watu walipo ni commodity ya watu usiowajua ila wao wanakujua / wanatujua.
Kila kitu ni biashara ya watu. Matatizo kwenye jamii ni biashara ya watu. Matatizo kwenye mifumo ya elimu, siasa, afya n.k. ni biashara za watu.
Usisahau pia watanzania wengi hawasomi zaidi ya kupenda short clips za videos.. Unaweza kuangalia hili soko pia haswa tiktok
Cha msingi ufikie watu wengi na update numbers ππ½