Namshukuru Mungu, nimekamilisha kazi tatu mpaka sasa.

Hongera mkuu πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ

I hope utaandika kitabu kuhusu mwanaume wa karne ya 21, naamini unaweza kutetea masculinity katika dunia inayozidi kuwa feminine. Ni moja ya hot topics ambazo natamani nizisome kwa perspective ya Africa..

All the best
 
Aisee, mtoto mdogo hivi inakuaje unatusumbua na hoja nzito nzito humu?!!!!

Back to the topic, mi mfuasi mzuri wa hadithi zilizopangika, nitavitafuta hivyo nikiamini nitairejesha ile ladha niliyoikosa ya kipindi kirefu ya mwandishi kama M.M. Bawji (kama sikosei) na ile kitu yake, 'Kubali Tuyamalize', 'Zubaa Uzikwe' n.k

Mimi sio mtoto Mdogo MkuuπŸ˜‚πŸ˜‚
Nimedumaa tuuπŸ˜€πŸ˜€.

Karibu Sana Mkuu.
 
Ieo walau umeandika kidogo. Huwa unaandika manenoelfu10 habari ya
maneno 3000.
Shabani Robert alikubali kukosolewa hata J.K.N wote wakawa waandishi wakubwa.
Ukitaka kuwa mkubwa jikosoe na kosolewa.

Hongera kwa kazi ya uandishi inataka moyo hasa katika jamii isiopenda kusoma.
Zamani waandishi walitajirika siku huzi sijui maana sisomi sana hadithi bali vitabu vya profession yangu. Katika hadithi /shairi niliosoma zamani ni ushauri wa mwendawazimu na S.S. Bawji, ukiandika kama Bawji nitaanza kusoma hadithi zako.

Pambania ndoto yako iwe kweli.
Shigongo ni mbunge kwa sababu ya uandishi.

Kujua kipaji chako ktk umri mdogo na kukifanyia kazi ni bahati sana kwa nchi zetu, wengi wetu vipaji vimelala na kufa wewe ni mtu mwenye bahati sana.Utafika mbali
 
Hongera mkuu πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ

I hope utaandika kitabu kuhusu mwanaume wa karne ya 21, naamini unaweza kutetea masculinity katika dunia inayozidi kuwa feminine. Ni moja ya hot topics ambazo natamani nizisome kwa perspective ya Africa..

All the best

Shukrani Sana Mkuu.

Ni kweli nitaandika, sio kuwatetea wanaume, Bali kuwapa Ile Haki Yao.
Pia sio kuwakandamiza Wanawake, Bali kuwapa Ile iliyohaki Yao.
Katika Falsafa na mitazamo ya Kiafrika
 
Mkuu nashukuru Sana Kwa Ushauri wako mzuri na moyo WA kuutoa.

Kuhusu kukosolewa na kujikosoa ni Jambo nzuri Sana.

Ila Kwa kizazi cha sasa, Kwa Watu wenye moyo mwepesi ukosoaji unaweza kuwaangamiza Kabisa. Kutokana na Aina ya wakosoaji na ukosoaji wenyewe.
Wengi WA wakosoaji hujawa na chuki na Wivu usio na sababu.
Ingawaje Mimi sio myumbishwa na maneno ya Watu.

Ila nawajua Vijana wengi ambao wanashindwa kuzifikia ndoto zao kisa Wakosoaji.
Ukosoaji unaolenga kujenga ni mzuri. Ila upo ule ukosoaji unaolenga kuangamiza na kuharibu. Huo umeathiri Watu wengi Mno.

πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
 
Mkuu mimi si muandishi wa vitabu ila kupitia masimulizi yangu naanda pdf watu wawe wanasoma angalau kwa malipo

Unaweza kuandika tuu kitabu, kama kitahitaji uhariri wapo Watu waliosomea kazi hiyo, unawapa au unaenda Bakita wanahuduma hiyo.
 
Hongera mkuu πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ

I hope utaandika kitabu kuhusu mwanaume wa karne ya 21, naamini unaweza kutetea masculinity katika dunia inayozidi kuwa feminine. Ni moja ya hot topics ambazo natamani nizisome kwa perspective ya Africa..

All the best

Natamani title iwe: 'The World in Tears' maana men wanazidi kuadimika na ndio angamizo la Dunia.

Men sasa wanapiga kampeni ya kukimbia ndoa aiseee Dunia now sio salama

CC: Robert Heriel
 
Mkuu mimi si muandishi wa vitabu ila kupitia masimulizi yangu naanda pdf watu wawe wanasoma angalau kwa malipo

kweli tuwe tunalipa aisee, unafanya kazi kubwa kuburudisha watu bure halafu wanatokea wapuuzi wanaanza kutukana.
 
Natamani title iwe: 'The World in Tears' maana men wanazidi kuadimika na ndio angamizo la Dunia.

Men sasa wanapiga kampeni ya kukimbia ndoa aiseee Dunia now sio salama

CC: Robert Heriel

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo ni biashara za Watu Mkuu.
Kuandika tutaandika lakini hakuna atakayekubali kitumbua chake kiingie mchanga
 
Shukrani Sana Mkuu.

Ni kweli nitaandika, sio kuwatetea wanaume, Bali kuwapa Ile Haki Yao.
Pia sio kuwakandamiza Wanawake, Bali kuwapa Ile iliyohaki Yao.
Katika Falsafa na mitazamo ya Kiafrika
Hakikata πŸ‘πŸΎ
 
Usisahau pia watanzania wengi hawasomi zaidi ya kupenda short clips za videos.. Unaweza kuangalia hili soko pia haswa tiktok

Cha msingi ufikie watu wengi na update numbers πŸ™πŸ½
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo ni biashara za Watu Mkuu.
Kuandika tutaandika lakini hakuna atakayekubali kitumbua chake kiingie mchanga

Samahani, sijakuelewa vema maana kila kitu ni biashara ya watu. In truth speaking biashara zote zinafanyika ndani ya biashara zingine.

I can say japo wengi hawatanielewa 'Tanzania' yenyewe ni biashara ya watu; I mean hapo ulipo / watu walipo ni commodity ya watu usiowajua ila wao wanakujua / wanatujua.

Kila kitu ni biashara ya watu. Matatizo kwenye jamii ni biashara ya watu. Matatizo kwenye mifumo ya elimu, siasa, afya n.k. ni biashara za watu.
 
Umesema vyema
Ulichoeleza ndicho nilichomaanisha
 
Usisahau pia watanzania wengi hawasomi zaidi ya kupenda short clips za videos.. Unaweza kuangalia hili soko pia haswa tiktok

Cha msingi ufikie watu wengi na update numbers πŸ™πŸ½

Nashukuru Sana Mkuu.
Ulichoeleza ni kweli Kabisa
 
Back
Top Bottom