Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

Rafiki kwa mwanamke unakaaje mwaka mzima bila channel..??...labda kama wewe ni mfu aisee...wiki moja tu umeishaanza kutafuta wapi wanafyatua matofar au ata gereji ya baiskeli funguka eti 🙄🙄🙄
 
Kutengana kupo japo si jambo linalopendeza. Baadhi ya wakati kunakuwa na sababu za kutosha na za msingi za kutengana.
Ndyo ila inabidi kuangalia ili kujua je sababu hienda zikawa ni tabia zile zisizotibika yaani za kujirudia
 
Si umuache dada yako ajitafutie badala ya kumfungia ndani. Au wewe ni mjahidina wa kipare?
 
Kheri inshallah . Utafikisha salama hiko jahazi.
 
Ukiwakosa wote ni pm tutumize yalio andikwa katika vitabu vya Mungu tuwastir wanawake walio achika,waliofiwa na wamezao Ili wasiwe wapweke na wasifanye uzinifu Kwa uwezo wa Allah na mtume Muhammad bas hili Jimbo ni la kwangu naiman familia Bora huongozwa na mwanaume aliesimama imara katika Iman ya kidini,uchumi,na afya ya tendo la ndoa na afya ya muda Kwa mkewe
 
Ha haaa nidhamu yake imemkosesha mume😅😅😅😅 maajabu haya.
Mwenzio nina waume watatu...aje nimgaie
Ktk hao watatu tayari wengine ulishatemana nao huko nyuma,unaona? Na hao pia utatemana nao,unaona?. Sasa hicho kitu cha "Go & Return" yeye hakitaki. Anataka utulivu. Na ksbb ya uhaba wa wanaume ndio maana ametaka hata kwenye ndoa mbili yuko tayari. Nia yake ni mtoto,sio anasa kama zako. Ili mradi asimkufuru MUNGU wake.
Na atapata mume bora kuliko hao watatu wa kwako.
 
Hao watatu ni wa sasa hivi, wa nyuma sijui idadi yao.
Haya mpe pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…