Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjomba dadako hawezi kulima tumbakuJamii forums kweli ni sehemu ya furaha tu maumivu hapa hayatakiwi
Rafiki kwa mwanamke unakaaje mwaka mzima bila channel..??...labda kama wewe ni mfu aisee...wiki moja tu umeishaanza kutafuta wapi wanafyatua matofar au ata gereji ya baiskeli funguka eti 🙄🙄🙄Kumbuka hapo ana mtoto kwahiyo ana kovu la maumivu kwenye moyo wake. Na usipoangalia ndiyo atakuwa analipiza kisasi.
Kuna ule msemo wa wanaume wote mbwa. Unaujua?
Siku hizi wanawake wanalindwa sana kwahiyo anaweza kukujibu chochote na usimfanye kitu.
Kuna siku lazima mtapishana kauli tu kwasababu nyinyi siyo malaika mpaka msigombane ndipo hapo kama siyo muelewa ataona inakuaje umkalipie wakati unaishi kwake?
Huyo mtoto huwezi kumchapa hata fimbo au kumuonya wakati nyumba ni mama yake lazima katakuwa na kiburi na mama mtu hatalikubali hilo ndipo ugomvi utakapoanzia hapo
Unakaa kwa mwanamke miaka 3 unatafuta mtaji, hapa utapoteza muda kumbuka mwanaume ukipambana mwenyewe kwa mwenyewe akili na ridhiki hufunguka sana.
Ndyo ila inabidi kuangalia ili kujua je sababu hienda zikawa ni tabia zile zisizotibika yaani za kujirudiaKutengana kupo japo si jambo linalopendeza. Baadhi ya wakati kunakuwa na sababu za kutosha na za msingi za kutengana.
Ha haaa nidhamu yake imemkosesha mume[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] maajabu haya.
Mwenzio nina waume watatu...aje nimgaie
Si umuache dada yako ajitafutie badala ya kumfungia ndani. Au wewe ni mjahidina wa kipare?Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.
Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.
Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.
Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.
Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.
![]()
Kheri inshallah . Utafikisha salama hiko jahazi.Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.
Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.
Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.
Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.
Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.
![]()
Vise versa hujamuelewa ??Ha haaa nidhamu yake imemkosesha mume😅😅😅😅 maajabu haya.
Mwenzio nina waume watatu...aje nimgaie
NimemwelewaVise versa hujamuelewa ??
Angekuwa Tabia ni njema angekuwa single nopeNimemwelewa
Ndicho ambacho nimeshangaaAngekuwa Tabia ni njema angekuwa single nope
Msemo mzuri sanaWaislam tuna msemo fulani wa kebehi sana, kuolewa tunaita kusitiri, hapo anatafutwa mtu wa kumsitiri
Nusra ni kama utaongeza wa pili [emoji16][emoji16][emoji16]Au kumfanyia nusra[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwakosa wote ni pm tutumize yalio andikwa katika vitabu vya Mungu tuwastir wanawake walio achika,waliofiwa na wamezao Ili wasiwe wapweke na wasifanye uzinifu Kwa uwezo wa Allah na mtume Muhammad bas hili Jimbo ni la kwangu naiman familia Bora huongozwa na mwanaume aliesimama imara katika Iman ya kidini,uchumi,na afya ya tendo la ndoa na afya ya muda Kwa mkeweSi kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.
Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.
Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.
Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.
Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.
![]()
Wewe tu huelewi nduguKwa waislamu kaka kumtafutia dada mme ni halali kweli mkuu au mimi ndio sielewi
Ktk hao watatu tayari wengine ulishatemana nao huko nyuma,unaona? Na hao pia utatemana nao,unaona?. Sasa hicho kitu cha "Go & Return" yeye hakitaki. Anataka utulivu. Na ksbb ya uhaba wa wanaume ndio maana ametaka hata kwenye ndoa mbili yuko tayari. Nia yake ni mtoto,sio anasa kama zako. Ili mradi asimkufuru MUNGU wake.Ha haaa nidhamu yake imemkosesha mume😅😅😅😅 maajabu haya.
Mwenzio nina waume watatu...aje nimgaie
Hao watatu ni wa sasa hivi, wa nyuma sijui idadi yao.Ktk hao watatu tayari wengine ulishatemana nao huko nyuma,unaona? Na hao pia utatemana nao,unaona?. Sasa hicho kitu cha "Go & Return" yeye hakitaki. Anataka utulivu. Na ksbb ya uhaba wa wanaume ndio maana ametaka hata kwenye ndoa mbili yuko tayari. Nia yake ni mtoto,sio anasa kama zako. Ili mradi asimkufuru MUNGU wake.
Na atapata mume bora kuliko hao watatu wa kwako.